Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

ni kweli inasikitisha sana ukilinganisha na miaka aliyopoteza,wakati kuna watu hawajasoma hata masters wanapata zaidi ya hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajapoteza chochote kwanza anasomeshwa bure na wengi wanatafutiwa Scholarships’s huko duniani anaongeza exposure yeye mwenyewe kimaisha

Wewe sema GPA ilipita kushoto 😂😂😂
 
Mbona.kila kitu ni connection wakuu..hapa napo inabidi..wa recruit watu wanye ..akili za practical cio kuangalia ukubwa wa GPA..kwenye karatasi..😁😁😁
Nawasilisha hoja...
 
Ila bado TCU hawajafanya vile inavyotakiwa ,kuajiriwa kwa kuangalia GPA ni tatizo zaidi ya corona..jaribu kuangalia maprofesa wetu huwezi amini kama Ni kweli ama wamesingiziwa uprofesa ..wote wamekimbilia siasa

GPA kubwa haitoshi kutambua uwezo wa mtu ,mfano mzuri na kaka Yangu Mwigulu nchemba aliyekwaa first class kwenye masuala ya uchumi..amebaki kusifia serikali ya awamu ya tano badala ya kuleta mbinu mbadala ya mapinduzi ya kiuchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wenzako wanasoma wewe ulikua unacheza gemu, kaa tulia dawa ikuingie.
 
Guideline sio Sheria mkuu. Vyuo havifungwi kutumia. Bado GPA ya Muslim University of Morogoro si sawa na SUA. Usijifariji peleka mtoto vyuo vinavyojitambua

Ongezea na Tumaini hapo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiwa mtamu kwenye kuandaa Projects ndio kabisa! Wewe unakuwa hazina kwa chuo na mipunga ni ya chap!

Kuna Doc mmoja ananiambiaga akitaka kuagiza gari anaadaa paper zake kadhaa tu. Akikamilisha tu mipunga ni chap.
Kwa hiyo motives yake ni self preservation ndo maana tuna project nyingi lakin hatupigi hatua so sad
 
Ila bado TCU hawajafanya vile inavyotakiwa ,kuajiriwa kwa kuangalia GPA ni tatizo zaidi ya corona..jaribu kuangalia maprofesa wetu huwezi amini kama Ni kweli ama wamesingiziwa uprofesa ..wote wamekimbilia siasa

GPA kubwa haitoshi kutambua uwezo wa mtu ,mfano mzuri na kaka Yangu Mwigulu nchemba aliyekwaa first class kwenye masuala ya uchumi..amebaki kusifia serikali ya awamu ya tano badala ya kuleta mbinu mbadala ya mapinduzi ya kiuchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa umeongea point ila vp una shida gani na wenye first class?
 
Back
Top Bottom