Mkuu kama unapenda UN unaenda kwenye google unaitwa inspira ukigoogle tu itatokea utajiregister
Ila hizi jumuiya zingine mfano ILO mimi hua nafunguaga website zao wenyewe naangalia kama kuna kazi au la DFID, British High Commission, Canada High Commission wao mfumo wao unaitwa wfca ukigoogle tu inakuja yenyewe..kwa kifupi nilikua na hobby ya kutafuta kazi nilikuaga natumia tayoa, zoomtanzania na kazibongo.blogspot(sema hizi mbili zimekua chenga kutafuta kazi) kuna mashirika kama UNHCR yale maranyingi watu hua wananitumia job posts