Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Attachments

  • 2373076_IMG-20200419-WA0003.jpeg
    2373076_IMG-20200419-WA0003.jpeg
    28.8 KB · Views: 6
Nitajie Chuo kimoja tu Private Bongo wanacholipa vizuri ukilinganisha na vya umma?
NN: Taja chuo kimoja tu Cha Private (wwlanusoyaje viwili).
***Na Zama hizi sadaka naxo zimekata tutashuhudia mengi.
Nafundisha private chuo sikaji kama mhadhiri ila nalipwa mpunga zaidi wa huo aloweka mdau wa UDSM

Inawezekana sana private mshahara ni negotiations kama sio muelewa wa mambo watakupa scale pungufu

Kwa hiyo inadepend na private kupata cheo ni haraka, disadvantage ya private huwezi kukutana na teuzi na mkulu, pia kuna mambo huwezi jiamulia mfano matokeo ya vijana

Kuna marafiki zangu wako serikali mambo ni yale yale
Na ss wa sadaka maisha yanasonga
 
Private Universities hizi zinazoshindwa kulipa mishahara mwezi April 2020.
 
Hacheni wivu kama vibaraka wa mke mwenza..sio lazima kila mtu apate GPA .. diamond anafanya anachokiweza na kime mlipa sasahiv anavua chupi zenu kama dagaa Nyasa madafu...af Nani alikuambia kuimba kunaisha mwanamuziki hastaafu.
Show off tu. Ngonja kuimba kuishe ndo utajua alikuwa anamiliki nini na nini ?Hayo magari showoff tu. Mwambie aonyeshe Card za gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakera sana kiukweli.

Wengi wa wasomi wa bongo ni wameza vitini na point za ubaoni, ila kuchanganua mambo kisomi au kama intellectual huwa uwezo upo chini sana.

Kuna kipindi nikiwa chuoni nikisomea taaluma yangu ya masomo na ujasiria mali, nilimchallenge mwalimu katika somo la marketing, alipokuwa anatufundisha kuhusu zile 4P's za marketing, alipotuuliza kwa kutupoint me nikamwambia zilizopopular ni 4 ila until recently zipo 12 P's darasa zima wakanicheka kicheko cha kunistaajabu kuwa sijui nasema nini sababu wao si walisoma diploma na cheti nimekutana nao degree....

Ticha nae kwa madharau akanipa marker pen niende ubaoni kutolea ufafanuzi hizo 12 P, weeeeeeeh mbona alikuwa mdogo namna nilivyozifafanua...... Akajiona box tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
hakukupa sup kweli? dah... 😛 😛 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom