Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Bado sijaona point ya msingi kuwa na maGPA makubwa na ile hali elimu yenyewe ni copy and paste.
Unajua kimsingi taaluma ni kipaji, humo vyuoni kuna malecture wanafaulisha watu kwa ushikaji wa kunywa nao vinywaji Bar lakini pia kuna mademu wanatombwa ndipo wanafaulishwa sasa tukiwa tunapima ufanisi kwa kutumia hizo hizo marks nadhani tutafeli pazuri sana na ndio maana siku zinavyozidi kwenda elimu yetu inazidi kudidimia sababu tumekuwa na focus kubwa na manamba na matakwimu na tumeacha ufanisi na productivity.
Kuna watu wana GPA ya 2.8 lakini ni very creative na kuna watu wana GPA 4.5 ila ukiwapa kitendo unagundua ni makasha yasiyo na kazi yoyote....
Sent using Jamii Forums mobile app