Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Kuna baadhi ya vyuo Joshua maksi zinagawiwa kama karanga za kijiweni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu. Hata hao graduates toka vyuo pendwa na wafia dini wakienda postgraduate kwenye Vyuo vinavyojielewa nchini SUA, MUHAS na UDSM mziki wake SI mchezo, full kufeli SI coursework Wala research.
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana.
Mtu mwenye PhD anapiga hesabu za kuingiza m3 kwa mwezi mzima bado makato na makato.
Leo ndo nimeelewa kwanini wasomi wengi Tz wana maisha magumu kuliko hata sisi ambao hatukusoma.
Yaani uwe na elimu hiyo kipato kiwe laki moja tu kwa siku nzima?
Wasomi wetu jaribuni kuwa serious kidogo.
Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyuo ni vyuo tu ili mradi unalipwa
Kuna vyuo vya private wanalipa vizuri sana, maana wana uhitaji wa walimu
Uwe mlimani Uwe bondeni kikubwa mpunga mengine mbwembwe🚶🏽‍♂️🕺🏾
 
Wenye 3.2 wawape hata diploma na 2.8 wapewe wafundishe Cert waache ubinafsi Maprofessor wote wamekimbilia siasa,tunapoenda nchi itakuwa haina wasomi watabaki wasanii na wanasiasa huko ndiko kuna Pesa.
 
Wacha wajidanganye, mafanikio hayaji kwa njia moja..eti mwalimu wa chuo kikuu ana njaa na hawez jenga..mtu analipwa 3m eti hela ndogo wakati mwalimu wa sekondari anajenga! Jamaa wanapata hela nzr, ila kila mtu ana matumizi yake binafsi. Nafundsha chuo cha private ambapo salary si kubwa kama vyuo vya serikali, lakini still nimefanya mambo yangu yoote ya msingi na sina njaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana private wanalipa tofauti au wewe umepigwa bila kujijua 🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️
 
Ina maana private wanalipa tofauti au wewe umepigwa bila kujijua 🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️
Private wakikuona huelewi mambo wanakukula nakumbuka nishawahi kufanya kazi na mtu kampuni moja grade sawa ila analipwa 700K wengine wanaanza na 1.5M

Wahindi wanacheza na dishi la muajiriwa kama lina chenga wanajipigia
 
Ngoja nipeleke CV yangu CBE,IFM au MAGOGONO Naona vigezo vimeruhusu
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana.
Mtu mwenye PhD anapiga hesabu za kuingiza m3 kwa mwezi mzima bado makato na makato.
Leo ndo nimeelewa kwanini wasomi wengi Tz wana maisha magumu kuliko hata sisi ambao hatukusoma.
Yaani uwe na elimu hiyo kipato kiwe laki moja tu kwa siku nzima?
Wasomi wetu jaribuni kuwa serious kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha magumu unayozungumzia wewe Ni yapi? Mbona wanaishi maisha mazuri Sana, by the way ni watu wangapi mtaani wanauhakika wa kuingiza hiyo pesa mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyuo ni vyuo tu ili mradi unalipwa
Kuna vyuo vya private wanalipa vizuri sana, maana wana uhitaji wa walimu
Uwe mlimani Uwe bondeni kikubwa mpunga mengine mbwembwe🚶🏽‍♂️🕺🏾
Nitajie Chuo kimoja tu Private Bongo wanacholipa vizuri ukilinganisha na vya umma?
NN: Taja chuo kimoja tu Cha Private (wwlanusoyaje viwili).
***Na Zama hizi sadaka naxo zimekata tutashuhudia mengi.
 
Back
Top Bottom