Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Utabaki na ndoto ndugu
Asante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utabaki na ndoto ndugu
Kweli Mkuu. Hata hao graduates toka vyuo pendwa na wafia dini wakienda postgraduate kwenye Vyuo vinavyojielewa nchini SUA, MUHAS na UDSM mziki wake SI mchezo, full kufeli SI coursework Wala research.Kuna baadhi ya vyuo Joshua maksi zinagawiwa kama karanga za kijiweni
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
Aissee 32?!Wenye GPA za 32 nao wapewe nafasi, nchi huru hii jamani.
.........Write your reply .Hiyo kwa Vyuo vya kata mbona kawaida 3.5 kitamboo. Pale UD, MUHAS na SUA mziki bado 3.8
Aissee 32?!
Ina maana private wanalipa tofauti au wewe umepigwa bila kujijua 🤷🏻♂️🤷🏻♂️Wacha wajidanganye, mafanikio hayaji kwa njia moja..eti mwalimu wa chuo kikuu ana njaa na hawez jenga..mtu analipwa 3m eti hela ndogo wakati mwalimu wa sekondari anajenga! Jamaa wanapata hela nzr, ila kila mtu ana matumizi yake binafsi. Nafundsha chuo cha private ambapo salary si kubwa kama vyuo vya serikali, lakini still nimefanya mambo yangu yoote ya msingi na sina njaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Private wakikuona huelewi mambo wanakukula nakumbuka nishawahi kufanya kazi na mtu kampuni moja grade sawa ila analipwa 700K wengine wanaanza na 1.5MIna maana private wanalipa tofauti au wewe umepigwa bila kujijua 🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Ndio maana ya private mkuu,,hamna uniform scale kama za serikalini katika sehem zote za private, so usishangaeIna maana private wanalipa tofauti au wewe umepigwa bila kujijua [emoji2371][emoji2371]
Yaani hao wana tcu yao au sijaelewa mkuuHiyo kwa Vyuo vya kata mbona kawaida 3.5 kitamboo. Pale UD, MUHAS na SUA mziki bado 3.8
Maisha magumu unayozungumzia wewe Ni yapi? Mbona wanaishi maisha mazuri Sana, by the way ni watu wangapi mtaani wanauhakika wa kuingiza hiyo pesa mtaani?Mimi mwenyewe nimeshangaa sana.
Mtu mwenye PhD anapiga hesabu za kuingiza m3 kwa mwezi mzima bado makato na makato.
Leo ndo nimeelewa kwanini wasomi wengi Tz wana maisha magumu kuliko hata sisi ambao hatukusoma.
Yaani uwe na elimu hiyo kipato kiwe laki moja tu kwa siku nzima?
Wasomi wetu jaribuni kuwa serious kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakifika 3.2 unijulishe
hahah!
Inaonekana huko vyuoni hali ni mbaya.
vilaza wanongezeka.
yani mpaka LOWER SECOND anakuwa TUTOR ?
Mimi napenda sana kufundisha lakini ndio hivyo nina 3.1 ambayo haikidhi vigezoHakuna kitu siwezi kama kufundisha. Ni ngumu sana kwangu.
Nitajie Chuo kimoja tu Private Bongo wanacholipa vizuri ukilinganisha na vya umma?Vyuo ni vyuo tu ili mradi unalipwa
Kuna vyuo vya private wanalipa vizuri sana, maana wana uhitaji wa walimu
Uwe mlimani Uwe bondeni kikubwa mpunga mengine mbwembwe🚶🏽♂️🕺🏾