Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Nakumbuka kuna uzi hapa tulipambana kwelikweli kuhusu hivi vigezo vya juu vya kufundisha chuo.... Tuliwasema sana...kwamba vigezo vya juu viliwekwaa kwaajili ya ukilitimbaa... Naona wamerekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hata kama nimepata GPA ya 2.0 halaf nakula mshahara zaidi ya milioni 4 nina hasara gani.
wakati huyo unayemsifia ana exposure analipwa 3.2 na amejitesa kusoma hadi uzeeni.
Hajapoteza chochote kwanza anasomeshwa bure na wengi wanatafutiwa Scholarships’s huko duniani anaongeza exposure yeye mwenyewe kimaisha

Wewe sema GPA ilipita kushoto [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini ndio chuo pekee ambacho wanafunzi wake wanakubalika na wote wanapata kazi.
Ni chuo pekee Afrika mashariki na kati kwa hizo kozi za meli.
wanafunzi wake wanapata kazi hadi majuu,ni tofauti kabisa na vyuo vyenu vya jalalani ambavyo mnashindwa kutengeneza hata dawa ya mafua.
DMI Ni Chuo Cha Kati SI chuo kikuu GPA za kuokota Kama cbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu 5.0 maana yake ulipata A zote katika masomo yote tangu first year hadi fourth year! Hapo kuna mshikeli maana haijawahi kutokea au kupata F zote hata Bambino wa Zambia angalau alipata A ya music
 
Mkuu 5.0 maana yake ulipata A zote katika masomo yote tangu first year hadi fourth year! Hapo kuna mshikeli maana haijawahi kutokea au kupata F zote hata Bambino wa Zambia angalau alipata A ya music
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi kupata 5.0 nayo imekuwa ni kitu ambacho hakiwezekani? Embu yakosoe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi kupata 5.0 nayo imekuwa ni kitu ambacho hakiwezekani? Embu yakosoe
Unless ulikuwa unaiba mitihani! Huwezi kupata A zote maana ukipata B+ moja inakuwa 4.9 kimahesabu. Well tutafanya utafiti hapo DMI
 
Unless ulikuwa unaiba mitihani! Huwezi kupata A zote maana ukipata B+ moja inakuwa 4.9 kimahesabu. Well tutafanya utafiti hapo DMI
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee ndiyo maana hamuendelei kwani A inaanzia ngapi? Tuanze hapo kwanza .kingine sijawahi ingia hata na kibuti tokea nasoma shule ya msingi sijuagi kibuti mimi , nasoma naelewa naingia kwa pepa nashusha vile ninavyoelewa na sio kukariri .
Kingine karibu mkuu mnakaribishwa sanaa.
I
 
Unless ulikuwa unaiba mitihani! Huwezi kupata A zote maana ukipata B+ moja inakuwa 4.9 kimahesabu. Well tutafanya utafiti hapo DMI
Kupata hizo mbona simple sana mkuu , unapiga 80 na kuendelea kwa kuwa A inaanzi 75 +sasa sijui mnakosaje 5.0 yaani mtu unashimdwa pata 75+ , mnani dissapoint sanaaa [emoji46]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course
Mbona.kila kitu ni connection wakuu..hapa napo inabidi..wa recruit watu wanye ..akili za practical cio kuangalia ukubwa wa GPA..kwenye karatasi..😁😁😁
Nawasilisha hoja...
sometimes Kuna Wana gpa kubwa lakini hawajui kufundisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…