MpiganajiWetu
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 107
- 20
kuna dogo kitaa analianzisha kwenda kwa mkuu wa mkoa eti TCU imemfanyia umafia kumwekea program tofauti na alizochagua,so walioomba pitieni ili mulianzishe wote
kama umeandikiwa NO afu unakomaa hutoi/hubadili,,,Wadau kama eligibity nimewekewa NO inamaanisha sitapata au??..nifanyeje
ha ah aha aha aaa a watampata wapi?wakimfata dogo haonekaniHuyo hajasikia kauli ya mheshimiwa pinda???....anataka kuvunjwa miguu chuo aende na baskeli ya viwete sio??....hahaaaa
I meant wameweka courses ambazo applicants hakuzichagua
hv kweli hawa na tcu au ni mchezo? mana nimeingia tena nakuta wamechange tena tofauti na ilivokuwa usiku wa jana
TCU imekosa mwelekeo kama Wizara ya elimu ilivyokosa mwelekeo
Hili ni janga jipya,mwaka huu majanga matupu!!!
Wadau kama kichwa kinavojieleza....cjui hili mnalielewaje??......nawasilisha
mi nimepangwa BSC IN PETROLEUM ENG
mi nimepangwa BSC IN PETROLEUM ENG
CBG ndio hawasomi ualimu? Kwa akili hizo wamefanya makosa kukupanga chuo. Ungefaa urudie masomo sekondari
Hili ni janga jipya,mwaka huu majanga matupu!!!