TCU imebadilishia course applicants..go and check NOW!

TCU imebadilishia course applicants..go and check NOW!

Na mwaka huu mnalo, mjeshi hatakiwi kugoma, kozi walokupangia ndo hyo hyo uisome hakuna kuhoji wala kugoma; maandano ndo hayatakiwi kabisa we komaa tu.:majani7:
 
kuna dogo kitaa analianzisha kwenda kwa mkuu wa mkoa eti TCU imemfanyia umafia kumwekea program tofauti na alizochagua,so walioomba pitieni ili mulianzishe wote
 
kuna dogo kitaa analianzisha kwenda kwa mkuu wa mkoa eti TCU imemfanyia umafia kumwekea program tofauti na alizochagua,so walioomba pitieni ili mulianzishe wote

Huyo hajasikia kauli ya mheshimiwa pinda???....anataka kuvunjwa miguu chuo aende na baskeli ya viwete sio??....hahaaaa
 
Wadau kama eligibity nimewekewa NO inamaanisha sitapata au??..nifanyeje
 
Huyo hajasikia kauli ya mheshimiwa pinda???....anataka kuvunjwa miguu chuo aende na baskeli ya viwete sio??....hahaaaa
ha ah aha aha aaa a watampata wapi?wakimfata dogo haonekani
 
hv kweli hawa na tcu au ni mchezo? mana nimeingia tena nakuta wamechange tena tofauti na ilivokuwa usiku wa jana
 
I meant wameweka courses ambazo applicants hakuzichagua

OK.got u!! anyway, thanks for feedback! mwaka wangu ilikuwa ni Manual applic. so, nilipeleka form zangu UDSM na kwa bahati nilipata hapohapo. nashukuru kwa mrejesho, ndio maana Mdogo-Rafiki yangu ameniambia nimtumie code course tena.
 
daaa,
poleni jamani...
sisi tuliomba with diploma qualification sidhani kama hayo majanga yatatuhusu
 
Hivi kwani huko JKT wanawaruhusu muende na laptop?ua mmekwepa?Kwanza huo muda wa kuangalia websites mnautolea wapi huko?
 
CBG ndio hawasomi ualimu? Kwa akili hizo wamefanya makosa kukupanga chuo. Ungefaa urudie masomo sekondari

nadhani hujamwelewa amesoma CBG amepangiwa BA.EDUCATION toka lini cbg asome ba?
 
Mbona mimi hiyo mit min requirements sioni kwenye profile yangu.
 
Back
Top Bottom