AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Wakuu tangu mwaka jana nimekuwa msomaji mzuri wa TCU guide book lakin kwakweli ukiangalia ni vituko vitupu. Almostly kila kozi yenye utija utaona wanataka sijui principal in Adv mathematics hata kama kozi husika inaweza ikasomwa na mwanafunzi yeyote khaaaa! Yani hata kusoma IT kunataka mtu wa science? i hope na tunapoelekea ipo siku hata sociology na mass communication watakuwa wanachukuliwa science tu..
My take:
Hivi hawa wanafunzi wengi wa arts jamaa wanataka wasomee ualimu tu? Mbona vyuo vikuu vya nje hakuna complication za kipepo kama hizi au ndo kusema kuchanganyikiwa kwa kukariri elimu ya mjerumani?