TCU na ubaguzi kwa wanafunzi waliosoma arts

TCU na ubaguzi kwa wanafunzi waliosoma arts

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Wakuu tangu mwaka jana nimekuwa msomaji mzuri wa TCU guide book lakin kwakweli ukiangalia ni vituko vitupu. Almostly kila kozi yenye utija utaona wanataka sijui principal in Adv mathematics hata kama kozi husika inaweza ikasomwa na mwanafunzi yeyote khaaaa! Yani hata kusoma IT kunataka mtu wa science? i hope na tunapoelekea ipo siku hata sociology na mass communication watakuwa wanachukuliwa science tu..

My take:
Hivi hawa wanafunzi wengi wa arts jamaa wanataka wasomee ualimu tu? Mbona vyuo vikuu vya nje hakuna complication za kipepo kama hizi au ndo kusema kuchanganyikiwa kwa kukariri elimu ya mjerumani?
 
Content za masomo yenyewe inatakiwa uwe na uelewa na hesabu mkuu.....kwani IT ndio haitakiwi ujue hesabu au? IT ni science pure
 
ndugu nahici umeshindwa kuelewa kitu.

kuna vigezo vya TCU na vigezo vya chuo hucka.

TCU past years vgezo vyao vlkuwa ni cut off points

2.5 not otherwize.

but kuna vigezo toka vyuo hucka kuhusu kozi hucka

na hapo ndipo mkanganyiko unapoanzia.

inorder to be enrolled by TCU u must have two

principle plus subsidiary pass. nahc unachanganya

kat ya vigezo vya TCU na chuo hucka.

Africa
 
Content za masomo yenyewe inatakiwa uwe na uelewa na hesabu mkuu.....kwani IT ndio haitakiwi ujue hesabu au? IT ni science pure

Mkuu mwanafunzi kutokusoma adv mathematics haimaanishi kwamba mwanafunzi huyo hana uelewa na hesabu, tujifunze kutoka vyuo vya kimataifa huko nje hawana complication za ajabu ajabu kama hizi.
 
ndugu nahici umeshindwa kuelewa kitu.

kuna vigezo vya TCU na vigezo vya chuo hucka.

TCU past years vgezo vyao vlkuwa ni cut off points

2.5 not otherwize.

but kuna vigezo toka vyuo hucka kuhusu kozi hucka

na hapo ndipo mkanganyiko unapoanzia.

inorder to be enrolled by TCU u must have two

principle plus subsidiary pass. nahc unachanganya

kat ya vigezo vya TCU na chuo hucka.

Africa

Nimekupata mkuu lakini inabidi taratibu ziangaliwe upya.
 
Mkuu mwanafunzi kutokusoma adv mathematics haimaanishi kwamba mwanafunzi huyo hana uelewa na hesabu, tujifunze kutoka vyuo vya kimataifa huko nje hawana complication za ajabu ajabu kama hizi.

Basi kama anajua kwa nini.asisome? Kwani ukisoma ukafanyia mtihani ukafaulu si bado inakupa wigo mpana? Mbona hesabu watu wanaikwepa halafu bado wanalalamika?
 
kama IT izi college za kawaida sawa si utasoma apps tu,
mziki upo ISNE sasa kama hujui hesabu tutakua tunatengeneza watu wa aina gani..
 
Back
Top Bottom