TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

Magu

Senior Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
156
Reaction score
56
Ndg wana Jf kumekuwa na taarifa mkanganyiko mtaani (taarifa zisizo rasmi) kuwa vyuo vingi nchi hii vinatoa degree ambazo ziko chini ya viwango, hii inasababisha watu kutoleana maneno ya kukejeliana na kukashifiana kuhusu elimu zetu. Vyuo vinatolewa maneno machafu kutoa degree chini ya viwango ni Tumaini University, SAUTI, UDOM, TEKU, MZUMBE.

MZUMBE wanatuhumiwa kutoa masters ambazo zinaitwa njegere/maharage ya mbeya, Tumaini university degree ya sheria kutotambuliwa na waajiri na pia Masters zake kutotambuliwa na kutosajiriwa na TCU.

Je wadau ni sahihi kwa TCU kukaa kimya kwa nchi kuwa na elimu inayotuhumiwa kwa kiwango kikubwa namna hiyo?

Wadau pia naombeni tujadili ukweli wa tuhuma hizi kiundani ili kuwasaudia TCU kujua kama hawajajua au kusikia ili wachukuwe hatua stahili.

TCU chukuweni hatua au mtoe tamko kwa hizi tuhum, kama ni za ukweli bora mvifungie vyuo ambavyo vinatoa elimu chini ya kiwango na kama baadhi ya kozi hazisajiriwa inakuwaje zitolewe na nyie mpo?
 
ila TUmaINI WAMEZIDI KHAA MAGPA YA FIST CLAS KWENDA MBELE..
 
ndg yng nchi imeoza watoto wao wanasoma nje watoto wa watanzania wanapewa degree za kichna mbona balaa wakat riz one yupo Uk anapiga kitabu sisi 2naunga unga na vyuo vyetu bora liende.
 
Nadhani hizo ndo sababu za kuchukulia hatua ambazo TCU wanatakiwa ku_put into considetation. Mashule ya sekondari kuna wakaguzi wa elimu, sasa kwa vile vyuo vikuu vimekuwa vingi ni vizuri kama kitengo hiki hakipo basi TCU wakianzishe na kiwe na nguvu aidha kufuta kozi au kufungia chuo. Kiwe na power kama ya CAG(mkaguzi na mdhibiti wa fedha za Serikali)
 
Ni kweli kuna haja ya kuwa nachombo kwanza cha kukagua ubora wa wahadhiri, mitaala na mazingira ya elimu ya juu. Tanzania tuta adhirika siku si nyingi zijazo kwa hii elimu yetu ya juu
 
SAUT almost zote hazina walimu wenye sifa wanaofundisha na maTA yani waliomaliza degree ata kugraduate bado shame on this to SAUT
 
Vyuo vingi duniani vinasifika si ubora wa majengo, uzuri wa jina au umri wa chuo bali hata ubora wa wakufunzi. Baadhi ya wakufunzi wa Vyuo Vikuu vya Tanzania ni wa kiwango cha chini sana na wakati huo huo kuna vyuo havitaki wanafunzi wafeli maana wanalipa ada na bah blah blah nyinginezo...yale yale ya English medium schools!!
 
inaonekana mleta thread ume-base kwenye hisia na 'hearsay',tupe chanzo cha hizo allegations zako kama ni utafiti au vipi? Inaonekana uko frustrated na competition iliyopo kwenye labour market
Hivyo jina la chuo ulichosoma siyo issue bali unapaswa ku-prove competence yako ili upate opportunity inayojitokeza
 

Mimi niko katika ajira ndg yangu isipokuwa such allegations are the reflection of what is happening and the feeling of the society. Alafu nikwambie jamaa yangu ni utafiti mdogo sana to prove this. Humu tu kulikuwa na thread ya kuhusu masters za mzumbe, Tumaini, pia kuna chombo cha habari kilitoa tangazo la kazi likizuia graduates wa Tumaini sheria wasiombe kazi.
This an indication of what the
labour market feels about our graduates. Pia comments the hii thread ni data tosha kusupport hili, mana wana Jf wametawanyika na makundi ni tofauti kuweza kupata information/data kukusaidia kuconclude hili
 
mzumbe ni booonge la chuo, wacha umbea wako wewe, shule ya Mzimbe ni msuri mkali
 

Unachhosema ni kweli hat mim nliwahi kukiskia. Lakini cha kusaidiana hapa ni TCU kuthibitisha haya kwa maana wakikaa kimya badae mtu atashindwa kutetea alichonacho.
Naamini wanataaluma kama supervisors, na maprof wanasoma hbr hizi nao pia kwa nafasi yao watuambie.
TCU nao watuambie criteria za ubora wa degree/master ni zip
 

Hii ndilo la msingi, japo kusoma chuo chenye sifa nzuri inahusika sana ubunifu wa mtu husika pia unahitajika.
 
fanyeni utafiti tena hasa kuhusu mzumbe ......si kweli kwamba degree zao ni feki isitoshe kila chuo mitihani huwa inasahihishwa na external examiners....ina maana paper za mzumbe zikija mlimani hazisahihishwi au? na kama hazisahihishwi ni nani anapalilia tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…