Huu utakuwa utaratibu mbovu wa TCU. Kwani TCU wanashindwa nn kuchambua majina kwa kutumia PC? Na kuonesha UDSM, UDOM,SAUT, n.k. Unadhani nani vyuoni ana muda wakupokea cm 58,000 za Tz wote walio apply TCU? Kama ujuavyo kuna watu/makabila yasio fahamu hata kuuliza ili wapate msaada dk 2 mmekosana na vidada vya phone operator. Ni bahati yako au ya huyo jamaa , nenda kesho vidada vimekorofishana na ma men wao uone mziki wake. Utakosa chuo bila kupenda. Huu utaratibu hustahili kuigwa wala kupongezwa hata kwa 0.0001%. Watoe Majina kama selection za 4m 5. Hivi kwa nn wanapenda 50,000 ya vocha bila shughuli walio ifanyia?