TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

jaman kuna jamaa yangu kajua sehemu alipopangiwa bila majina kutolewa na chuo husika alichokifanya ni kutafuta mawasiliano ya kila chuo alichojaza na kuwapigia na kuwaomba wamchekie jina lake kama lipo kwnye chuo icho kawapgia st john st agustn teku pia na udom kwa bahat nzur jina lake lipo UDOM kumbe inawezekana kujua fasta
 
Kila mwaka vyuo huwa vinatangaza kwenye mitandao mpaka kwenye magazeti. Bora kusubiri. Lakini kwanini wachelewe kunani?
 
Acheni kiherehere vilaza nyinyi...mliopata 3 mbovu ndio mnahangaika but kama unajiamin ungekaa kimya2..ndio nyinyi mkishapata vyuo vyenu vya kata mnavipaisha mseme ndio namba1..
 
Huu utakuwa utaratibu mbovu wa TCU. Kwani TCU wanashindwa nn kuchambua majina kwa kutumia PC? Na kuonesha UDSM, UDOM,SAUT, n.k. Unadhani nani vyuoni ana muda wakupokea cm 58,000 za Tz wote walio apply TCU? Kama ujuavyo kuna watu/makabila yasio fahamu hata kuuliza ili wapate msaada dk 2 mmekosana na vidada vya phone operator. Ni bahati yako au ya huyo jamaa , nenda kesho vidada vimekorofishana na ma men wao uone mziki wake. Utakosa chuo bila kupenda. Huu utaratibu hustahili kuigwa wala kupongezwa hata kwa 0.0001%. Watoe Majina kama selection za 4m 5. Hivi kwa nn wanapenda 50,000 ya vocha bila shughuli walio ifanyia?
 
Back
Top Bottom