TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

Unachokisema ni sahih mkuu mm ni mmoja kati ya wanaosubir tcu kwa ham lakini huu utaratibu haufai. Wana jamvi kapost habar isiyo na matege.
 
Heading inavuta kila mtu kutaka kusoma, habari inasomeka pia, lakini uongo umezidi maana hakuna kitu cha namna hiyo kwenye website ya TCU, utadhani mwazisha uzi alikuwa ndotoni akakurupuka na kuanza kuposit, acheni kuchezea akili za watoto wetu na wadogo zetu wanaoitafuta elimu katika mazingira magumu then mnawapa pressure za bure ninyi wala sembe.
 
gs nimepass na ktk darasa letu wenye s n 6 kat ya 33 m npo kwny 6 cwez kufel gs
 
Jielewe bsi we kijana. C unajua watu wamexha vurugwa na we wataka kuwavuruga zaidi. Kama huna cha kuandika humu piga kimya.
 
Nilivoona hii heading nikapata mapresha nikaibonyeza kumbe bundle limeisha afu hapa na dukani ni kama kilomita moja hivi ,ikabidi nipande pikipiki fasta kwenda kununua vocha ili niweke bundle duuh ile kubyofa ili nijue kama ni kweli kumbe ni fiksi.Asee Escoba umeboa kinoma uko kama umetoka ku.harisha afu ukapost tuu bila hata kunawa.
Bloody f.o.o.l chezea tu akili za watu.
 
Afu mambo ya kuandika maneno ya vijiweni sio mahala pake hapa,unamwambia nani "oyaaa"hebu vijana wenzetu jaribuni kujiheshimu sio unaaandika tu.
 
Hili jukwaa ni muhimu sana ndugu zangu,ni moja kati ya jamvi muhimu sana kwa walio masomoni na hata wahitimu waliopo mtaani kama nyie vijana.
Najua hapa form six mpo wengi tu mkisubiri kujiunga na Elimu ya juu.
Ila kuna sintofahamu imezuka miongoni mwenu japo siyo wote,hii tabia ya kuanzisha thread bila hata kufikiri,leo hii kuna zaidi ya thread kumi zenye maudhui ya aina moja !! Mtu bila kusoma thread tangulizi kujua kinachojadiliwa ili kama anatatizo alitue hapo but huyoo kupost mara sijui breaking news....tetesi na kadha wa kadha.
Jf inategemewa na wengi kama ndio chanzo chao cha habari za uhakika, kwa trend hii huko mbeleni watu watashindwa kuiamini sababu ya post kamq ya huyu mleta mada. Unaleta kitu then unaishia kutukanwa kama hivi hii haipendezi na sio dalili njema,mleta mada jifunze kuitumia jamiiforums( hii hata kwa wenye tabia kama yako) jf ni kisima cha Elimu itumie vyema.
Hawa mliowakuta kama wangeweka nyuzi za ajabu ajabu sidhani kama leo hii jf ingekuwepo hapa ilipo ! Acheni hizo,hapa hatushindani kama fb wangapi wame like na ku comment.
Kumbuka nyie ndio mnategemewa kuja kuweka threads zenye manufaa kwa UMMA siku za usoni,sijui kwa uandishi huu utasadikika vipi ?
Litumieni vyema hili jukwaa.
NB:
Huu ni ushauri tu sitegemei kuanzisha majibizano na mdau yeyote hapa jamvini.
Wasalaaaam.

well said broo
::
 
Mods futa uzi huu na jamaa ale BAN ya mwaka.

Mods nao siku hizi kero vibaya,wao wamekomaa na jukwaa la siasa tu. Wengine hili jukwaa ndio kila kitu,sasa wengine from nowhere wanaweka vitu vya ajabu wanaachwa tu.
Habari zinazowekwa bila source ya kuelewa zilistahili kumpa BAN mleta thread.... ila wao wanasubiri tutukane then watupe BAN,hii siyo nzuri kabisa. 🙁
 
Kijana hiki sio kijiwe cha wavuta bangi!!

mkuu nakukumbuka sana enzi za mwaka jana wakati tcu wanalivyokua wanataka kutoa tokeo ulivyokua unatoa info nakukumbuka sana...waache hawa madogo waangaike sisi tulishafanya yetu.
 
Da jamaa kala nn?? Inaelekea ubongo na viungo havi process sawa,, ubongo unafkiria hiki mikono ina typ hiki,,! I advice u to see a specialist,, (brain doctor)

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom