TCU rekebisheni hii kasoro

TCU rekebisheni hii kasoro

Me nldhani MTU anapo select chuo ana select na course sasa iweje usijue course ya chuo ambacho umedelect we mwenyewe wadau au me ndo sielewi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu amechagua course kama tatu chuo kimoja yani First choice,2nd na third choice....wanaposema amechaguliwa wanatakiwa wamuoneshe kuwa wamemchagua kozi ipi kati ya alizoomba kulingana na prayoriti zake.
 
mwenyewe sijatumiwa code so sielewi nimechaguliwa au lah!!
 
Hongera kwa kuchaguliwa UDOM! Umechaguliwa Bachelor of Science in Computer Science (BSC-CS).Ili kuthibitisha udahili wako, utatakiwa kuweka SPECIAL CODE utakayotumiwa kwa ujumbe mfupi kwenye simu yako kesho Jumapili. KARIBU UDOM!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kuchaguliwa UDOM! Umechaguliwa Bachelor of Science in Computer Science (BSC-CS).Ili kuthibitisha udahili wako, utatakiwa kuweka SPECIAL CODE utakayotumiwa kwa ujumbe mfupi kwenye simu yako kesho Jumapili. KARIBU UDOM!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona udom kwangu inaonesha status ileile ya your application is successfully received
 
Hongera kwa kuchaguliwa UDOM! Umechaguliwa Bachelor of Science in Computer Science (BSC-CS).Ili kuthibitisha udahili wako, utatakiwa kuweka SPECIAL CODE utakayotumiwa kwa ujumbe mfupi kwenye simu yako kesho Jumapili. KARIBU UDOM!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye web ya udom nachekia sehem ipi maana kuna dogo yuko bush huko kaniomba nimchekie nimeingia web ya udom sijapata pa kuweka pasword na username. Thanks

Huo ujumbe umetumwa kwa SMS za kawaida tu, itakuwa labda dogo hakuweka No. Ya sim sahihi lakini naweza kukusaidia Majina yote uangalie jina lake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aloo ulikuwa na division gani wakakuchagua MD Udom, 1 au 2?QUOTE="fredy18, post: 28198973, member: 491835"]Chuo husika ukiingia kweny account yko wanakwambia kozi uliyochaguliwaView attachment 853866

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Siyo vyuo vyote wanaonyesha kozi uliyochaguliwa? Kwa mfano SUA hawaonyeshi wamekuchagua kozi ipi kati ya zote ulizochagua lakini wanataka uconfirm. Ukiona chuo chako nulichoomba wameonyesha kozi shukuru lakini vyuo vingine mpaka sasa havijafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom