Berther patty
Member
- Jul 27, 2018
- 34
- 4
Yan m nachanganyikiwa tu io code kimya mpaka sasa hivWenginE Mpaka muda huu code za kuthibitisha hatujatumiwa...Msaada Tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan m nachanganyikiwa tu io code kimya mpaka sasa hivWenginE Mpaka muda huu code za kuthibitisha hatujatumiwa...Msaada Tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu amechagua course kama tatu chuo kimoja yani First choice,2nd na third choice....wanaposema amechaguliwa wanatakiwa wamuoneshe kuwa wamemchagua kozi ipi kati ya alizoomba kulingana na prayoriti zake.Me nldhani MTU anapo select chuo ana select na course sasa iweje usijue course ya chuo ambacho umedelect we mwenyewe wadau au me ndo sielewi.....
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]mbona wengine tumekuta tcu status kwambaAloo ulikuwa na division gani wakakuchagua MD Udom, 1 au 2?QUOTE="fredy18, post: 28198973, member: 491835"]Chuo husika ukiingia kweny account yko wanakwambia kozi uliyochaguliwaView attachment 853866
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kuchaguliwa UDOM! Umechaguliwa Bachelor of Science in Computer Science (BSC-CS).Ili kuthibitisha udahili wako, utatakiwa kuweka SPECIAL CODE utakayotumiwa kwa ujumbe mfupi kwenye simu yako kesho Jumapili. KARIBU UDOM!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye web ya udom nachekia sehem ipi maana kuna dogo yuko bush huko kaniomba nimchekie nimeingia web ya udom sijapata pa kuweka pasword na username. ThanksHongera kwa kuchaguliwa UDOM! Umechaguliwa Bachelor of Science in Computer Science (BSC-CS).Ili kuthibitisha udahili wako, utatakiwa kuweka SPECIAL CODE utakayotumiwa kwa ujumbe mfupi kwenye simu yako kesho Jumapili. KARIBU UDOM!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ujumbe umetumwa kwa SMS za kawaida tu, itakuwa labda dogo hakuweka No. Ya sim sahihi lakini naweza kukusaidia Majina yote uangalie jina lake tu.Mkuu kwenye web ya udom nachekia sehem ipi maana kuna dogo yuko bush huko kaniomba nimchekie nimeingia web ya udom sijapata pa kuweka pasword na username. Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante. Fresh tu mi nataka nimtoe shaka huko maana kawa kama chizi.Huo ujumbe umetumwa kwa SMS za kawaida tu, itakuwa labda dogo hakuweka No. Ya sim sahihi lakini naweza kukusaidia Majina yote uangalie jina lake tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ujumbe umetumwa kwa SMS za kawaida tu, itakuwa labda dogo hakuweka No. Ya sim sahihi lakini naweza kukusaidia Majina yote uangalie jina lake tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ayse nimeshindwa kuweka link hapa ila kama una whatsap no. Nipe nikutumie chap usomeAisee naomba link yakuangalia hayo majina
Asante. Fresh tu mi nataka nimtoe shaka huko maana kawa kama chizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee naomba link yakuangalia hayo majina
Nimeshindwa kuweka link wakuu,sawa sawa
Ayse nimeshindwa kuweka link hapa ila kama una whatsap no. Nipe nikutumie chap usome
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]Aloo ulikuwa na division gani wakakuchagua MD Udom, 1 au 2?QUOTE="fredy18, post: 28198973, member: 491835"]Chuo husika ukiingia kweny account yko wanakwambia kozi uliyochaguliwaView attachment 853866
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu icopy upaste tuAyse nimeshindwa kuweka link hapa ila kama una whatsap no. Nipe nikutumie chap usome
Sent using Jamii Forums mobile app