Kila chuo huanza na walioaplai first choice kwa kila coz kama walio 1st choice eligible wanazidi admission capacity wanashindanishwa kwa njia ya ufaulu. Hivyo kama 1st choice ya mko pungufu ukilinganisha na idadi hitajika, umechaguliwa kama ulimeet admission requirements.
Jamani madogo mwaka huu mna hamu na chuo duuh! mtapata tu jamani,,kama wakitangaza si mtasikia,after all leo ndo tumetoka kufanya final touches katika cd za selected students
Jamani madogo mwaka huu mna hamu na chuo duuh! mtapata tu jamani,,kama wakitangaza si mtasikia,after all leo ndo tumetoka kufanya final touches katika cd za selected students
pleas help me jaman kwan kuna majna ya waliokosa vyuo yametoka
na what if,let say capacity ya hyo kozi ni watu 50,walioweka as 1st choice ni 50,na kati ya hao watu 50,kuna ambae ana dv 3.17 ingawa ana 2 principals,na hyo kozi ina competition sana let say ni Baf ya mzumbe,hawatachakachua kweli huyo mwenye 3 akapgwa chini na akachukuliwa mwenye 1 or 2 hata kama aliiweka hyo kozi ya mwisho?
Na je ikitokea umechaguliwa kozi ambayo huipendi sana kwenda kuisoma kwenye chuo husika unaweza badilisha kozi au ni vp?
Jamani vuteni subira,kuna watu wanapaswa kukamilisha info zao,wako 425(tembelea tcu.go.tz uone). Mimi nadhani ni hadi hawa watu wamalize ndo watangaze. Ngoja wengine tuende teachers college tukaonje maharage kwanza wakati tunasubiri tcu mambo yakae fresh.
Mambo yote kesho jaman.... The end!!!