Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Kila chuo huanza na walioaplai first choice kwa kila coz kama walio 1st choice eligible wanazidi admission capacity wanashindanishwa kwa njia ya ufaulu. Hivyo kama 1st choice ya mko pungufu ukilinganisha na idadi hitajika, umechaguliwa kama ulimeet admission requirements.
na what if,let say capacity ya hyo kozi ni watu 50,walioweka as 1st choice ni 50,na kati ya hao watu 50,kuna ambae ana dv 3.17 ingawa ana 2 principals,na hyo kozi ina competition sana let say ni Baf ya mzumbe,hawatachakachua kweli huyo mwenye 3 akapgwa chini na akachukuliwa mwenye 1 or 2 hata kama aliiweka hyo kozi ya mwisho?