Inakuwa invisible au????
AISEE WEWE JAMAA TUSAIDIE TENA BWANA........Vipi Mwaka huu kuna Airtel yatosha tena??*150*44# kwa lain ya airtel then fuata maelekezo....
Naomben mtu anichekie jaman nina tigo tu na voda mm
Tumia akili mkuu.
Kivp yani sijakusoma me natumia cm ctumii akili kuangalia
Kivp yani sijakusoma me natumia cm ctumii akili kuangalia
Mkuu mbona me najaribu inaniambia externa application down whats wrong msaada plz