TCU selections are OUT!!

TCU selections are OUT!!

Status
Not open for further replies.
Aya ebu mtujuze mlochaguliwa mmechaguliwa kwenye choice ya ngapi??
 
Unauliza mkarafuu pemba..!!but unaweza kuchange kama utasoma master..ungesoma in education unakua ticha mpaka kaburini kwako maana hata hio master huwez kisoma kitu kingine lazima usomee ualimu
 
Nani kasema ukisoma education kazi ni kufundisha tu!! Zipo nyingi sn mbali na kufundisha.
 
Unauliza mkarafuu pemba..!!but unaweza kuchange kama utasoma master..ungesoma in education unakua ticha mpaka kaburini kwako maana hata hio master huwez kisoma kitu kingine lazima usomee ualimu

ukiajiriwa unaruhusiwa kuchange baada ya muda gan?
 
ukiajiriwa unaruhusiwa kuchange baada ya muda gan?
Inategemea na mwajiri wako but with education sio lazima uwe mwalimu..ila unaweza kusoma master ya kitu chengine coz with education maana yake education sio major
 
BBA with education je?
Unaweza kufanya kazi za bzness as well as ualimu wa masomo ya biashara!!..yaan course yyt wa with education sio lazima uwe mwalimu but unaweza kuwa mwalimu..ukiona in education ujue hapo ni ualimu2 kwenda mbele na huwezi kuchomoka tena kwenye ualimu
 
sio lazima ufundishe kama wapo wa kukuunganisha majuu kwani maofisa elimu wametoka wapi
 
hivi nini tofauti ya bachelor of arts with education na bachelor of edcation in art? naomba majibu
 
Tcu tushajua wanazingu kwa anayejua kama kuna chuo walichotoa majina ya waliochaguliwa 1st year mbali na CBE cz CBE wameyatoa tangu trh16.
 
Unauliza mkarafuu pemba..!!but unaweza kuchange kama utasoma master..ungesoma in education unakua ticha mpaka kaburini kwako maana hata hio master huwez kisoma kitu kingine lazima usomee ualimu

je mtu akichukua bacherol of education with ict
 
mbona sioni kitu jamani maana naclik ila sioni kitu jamani.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom