Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza mkarafuu pemba..!!but unaweza kuchange kama utasoma master..ungesoma in education unakua ticha mpaka kaburini kwako maana hata hio master huwez kisoma kitu kingine lazima usomee ualimu
BBA with education je?Unauliza mkarafuu pemba..!!but unaweza kuchange kama utasoma master..ungesoma in education unakua ticha mpaka kaburini kwako maana hata hio master huwez kisoma kitu kingine lazima usomee ualimu
Inategemea na mwajiri wako but with education sio lazima uwe mwalimu..ila unaweza kusoma master ya kitu chengine coz with education maana yake education sio majorukiajiriwa unaruhusiwa kuchange baada ya muda gan?
Inategemea na mwajiri wako but with education sio lazima uwe mwalimu..ila unaweza kusoma master ya kitu chengine coz with education maana yake education sio major
Unaweza kufanya kazi za bzness as well as ualimu wa masomo ya biashara!!..yaan course yyt wa with education sio lazima uwe mwalimu but unaweza kuwa mwalimu..ukiona in education ujue hapo ni ualimu2 kwenda mbele na huwezi kuchomoka tena kwenye ualimuBBA with education je?
Unauliza mkarafuu pemba..!!but unaweza kuchange kama utasoma master..ungesoma in education unakua ticha mpaka kaburini kwako maana hata hio master huwez kisoma kitu kingine lazima usomee ualimu
Tcu tushajua wanazingu kwa anayejua kama kuna chuo walichotoa majina ya waliochaguliwa 1st year mbali na CBE cz CBE wameyatoa tangu trh16.
mbona sioni kitu jamani maana naclik ila sioni kitu jamani.....