TCU selections are OUT!!

TCU selections are OUT!!

Status
Not open for further replies.
natamn pia kujua wap chuo nimepangiwa...ooooooh lord be on our side kwa kila kituuuuu.....think i cant tak t in mo :disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
 
ww umepangiwa teku au st john au kiu mbna unakazania kuwa watachange vyuo kama unataka ukwl waulze watu wa mwaka jana k2 cha udsm kilvuja mbna tcu hawakuchange vyuo

sijasema watachange na wala sijapangiwa ivo vyuo ulivyo vtaja mkuu! istoshe nilichopangiwa nimekichagua na nimeridhika kwenda huko! %
 
Nikiingia kwenye profile yangu yaandika system closed check selection status na kwenye program zipo zote tano kama nilivyoomba,hapo vp

"ooooh..yeah hat mie pia...🙂🙂"""" gues sun tutapeawa majibu
 
kama mnakumbuka vzur mwaka jana selection zltangazwa na tcu tarehe kama hizi kwaiyo wait 4 offcial annoncment ila 2liowah kujua 2mepangwa wapi mambo ni yale yale[/QUOT

sio kosa lako ni kosa la kuwa muafrika.
 
mkuu k2 n kile kile ya airtel yatoshaaa! Kama ulipangiwa st john basi ni hicho 2 ila kama n ud n ud 2
kama ndoitakua hivyo itakuwa poa ila muhimu kwa sasa ni kusubiri nakuto jipa 100% MAANA TCU NI KAMA BAHARI MARA KUPWA MARA SHWARI.
 
Kitu ni kile kile cha airtel yatosha hakuna mabadiliko yoyote, kuna majina ya madogo kama watano niliwangalizia akiwemo dogo langu na wote wamechaguliwa hivyo vyuo na kozi husika TCU WALIBUGI MEEN.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom