yaweza ikawa ndio
ww umepangiwa teku au st john au kiu mbna unakazania kuwa watachange vyuo kama unataka ukwl waulze watu wa mwaka jana k2 cha udsm kilvuja mbna tcu hawakuchange vyuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaweza ikawa ndio
ww umepangiwa teku au st john au kiu mbna unakazania kuwa watachange vyuo kama unataka ukwl waulze watu wa mwaka jana k2 cha udsm kilvuja mbna tcu hawakuchange vyuo
Nikiingia kwenye profile yangu yaandika system closed check selection status na kwenye program zipo zote tano kama nilivyoomba,hapo vp
"ooooh..yeah hat mie pia...🙂🙂"""" gues sun tutapeawa majibu
Mbwiga saidi kaka username s.0816/0030/2009 password happyg
Mbwiga saidi kaka username s.0816/0030/2009 password happyg
Hawa jamaa wanaishi kwa historia hawajui kwamba sikuhazi fanani abadanHizi tetesi mnazitolewa wapi?
kama mnakumbuka vzur mwaka jana selection zltangazwa na tcu tarehe kama hizi kwaiyo wait 4 offcial annoncment ila 2liowah kujua 2mepangwa wapi mambo ni yale yale[/QUOT
sio kosa lako ni kosa la kuwa muafrika.
kama ndoitakua hivyo itakuwa poa ila muhimu kwa sasa ni kusubiri nakuto jipa 100% MAANA TCU NI KAMA BAHARI MARA KUPWA MARA SHWARI.mkuu k2 n kile kile ya airtel yatoshaaa! Kama ulipangiwa st john basi ni hicho 2 ila kama n ud n ud 2
sun..!!!! in swahil jua.
Yani unavyo jihakikishia hiyo 100% kama una bahasha vile HESBL angalia usije ukaangukia pua.Watuwahishie hizo mia mia zetu 2sambaeeee
dah inaonesha wote watoto humu maana ni ishu za kuingia chuo dah bora muende tusikie mengine