Dr Aluta
Senior Member
- Apr 16, 2015
- 121
- 39
Wadau kwa muda wa wiki sasa toka nitume maombi ya chuo kikuu.
Mwanzoni walinitumia vocha na nimejisajili vizuri lakin baadh ya procedures sijamaliza, nimeishia kwenye set secret.
Lakini toka juzi niingie mtandaoni kumalizia nakuta wameandika kwenye tovuti yao kwamba, kwa sasa kuanzia form six na diploma kwa mujibu wa TCU wamesitishwa kutuma maombi mpaka pale watakapotoa official anouncement.
Kwa ushahidi wa hilo mimi nilirudishiwa mpaka pesa na TCU hali ya kuwa washanisajili, hii ilinishangaza kwa kweli, yani pesa warudishe na usajili wanipe.
Na ile pesa imekaa kama siku 5, ndipo tigo wakaifungua akaunti yangu ya tigo pesa. walijua ntaitumia ile pesa. sasa kama kuna form six yeyote aliyeomba tcu anijuze kafanyaje, au kuna tatizo tcu?