TCU wamesitisha tena maombi kwa form six

TCU wamesitisha tena maombi kwa form six

Dr Aluta

Senior Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
121
Reaction score
39
Wadau kwa muda wa wiki sasa toka nitume maombi ya chuo kikuu.

Mwanzoni walinitumia vocha na nimejisajili vizuri lakin baadh ya procedures sijamaliza, nimeishia kwenye set secret.

Lakini toka juzi niingie mtandaoni kumalizia nakuta wameandika kwenye tovuti yao kwamba, kwa sasa kuanzia form six na diploma kwa mujibu wa TCU wamesitishwa kutuma maombi mpaka pale watakapotoa official anouncement.

Kwa ushahidi wa hilo mimi nilirudishiwa mpaka pesa na TCU hali ya kuwa washanisajili, hii ilinishangaza kwa kweli, yani pesa warudishe na usajili wanipe.

Na ile pesa imekaa kama siku 5, ndipo tigo wakaifungua akaunti yangu ya tigo pesa. walijua ntaitumia ile pesa. sasa kama kuna form six yeyote aliyeomba tcu anijuze kafanyaje, au kuna tatizo tcu?
 
Mbona wengine tumeomba fresh na hakunaga manyoka hayo, au wanahisi we msomalia, tulia ka wik moja afu omba tena
 
Mbona wengine tumeomba fresh na hakunaga manyoka hayo, au wanahisi we msomalia, tulia ka wik moja afu omba tena

Tupiamo japo link mkuu. mana yawezekana nakosea kugugo.
 
Upo sawa lakin mbona wengne kila siku tunaendelea kuaply hata jana mi nime login na kuendlea cjui ww ssa
 
nadhan ni tatizo la tigo pesa tu, kuna jamaa yangu pia ametumiwa sms wakimwambia kwamba ela ilirudishwa tigo kimakosa, tafadhali weka elf 50 kwenye tigo pesa ili usajili wako ukamilike.
 
kwenye guide book naona tena imeandikwa deadline for submission of application for all applicants 31st august
 
wakuu ivi Lile tangazo la kupeleka clearance letter tcu linawausu na wale ambao wamejiunga degree kutokea diploma na vyuo awakuripoti?Embu mtujuze wakuu au ni form six tu?majibu wakuu.
 
wakuu ivi Lile tangazo la kupeleka clearance letter tcu linawausu na wale ambao wamejiunga degree kutokea diploma na vyuo awakuripoti?Embu mtujuze wakuu au ni form six tu?majibu wakuu.

kama alichaguliwa hakulipot anahusika sana tu haijalish manake yupo tyr kwenye system
 
Back
Top Bottom