TCU wametoa post tayari

TCU wametoa post tayari

Mzigoooooooooooooo umetemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nipo naziangalia hapa kwa anaye taka anipe namba ake ya 4m4 mwaka alio malizia na majina ake mawili la kwanz n mwisho
 
Jaman kwa waliochaguliwa tumshukuru Mungu. Na TCU walivyokuwa wanatuchanganya akili.
ASANTE SANA MUNGU.
Na azd kuwapigania wengine.
 
Back
Top Bottom