Naombeni kdogo maoni yenu juu ya hili,
Tcu wanaonesha nimechaguliwa chuo cha MZUMBE (BECA), Lakini majina waliyotoa MZUMBE jinalangu halipo.. Hapo kuna tatizogani?
Wadau kuna mtu, jana aliangalia Selection kwa kupitia ile database ya tcu ikaonyesha(na had saiv inaonyesha) kapangiwa Mzumbe ila kwenye majina yaliyotolewa kwenye website ya Mzumbe jina Lake halipo, hii inakuaje?
Wakuu tayari Mzumbe wameshatoa taarifa through page yao ya FB( Vyema mkai-like) kuwa wenye tatizo kama lenu inabidi muwa-inbox or muwa-email majina yenu na no zenu za mtihani ili wawainclude kwenye list.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.