TCU wanaonesha nimechaguliwa, lakini chuoni jina langu halipo

TCU wanaonesha nimechaguliwa, lakini chuoni jina langu halipo

'Umarr P

Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
22
Reaction score
1
Naombeni kdogo maoni yenu juu ya hili,
Tcu wanaonesha nimechaguliwa chuo cha MZUMBE (BECA), Lakini majina waliyotoa MZUMBE jinalangu halipo.. Hapo kuna tatizogani?
 
Wadau kuna mtu, jana aliangalia Selection kwa kupitia ile database ya tcu ikaonyesha(na had saiv inaonyesha) kapangiwa Mzumbe ila kwenye majina yaliyotolewa kwenye website ya Mzumbe jina Lake halipo, hii inakuaje?
 
hiyo iliyowekwa ni batch 1, baada ya muda wataweka batch i hope utawemo
 
Wadau hata mimi ni mhanga tcu inaonesha nimechaguliwa mzumbe LLB lakin ktk orodha ya chuo simo na ck znaisha usaidiz plz
 
Wakuu tayari Mzumbe wameshatoa taarifa through page yao ya FB( Vyema mkai-like) kuwa wenye tatizo kama lenu inabidi muwa-inbox or muwa-email majina yenu na no zenu za mtihani ili wawainclude kwenye list.
 
Duh, kumbe 2po wengi.. 2fanye kusubir labda ni mambo ya system tu..
 
Back
Top Bottom