zanzibardefi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 283
- 43
matokeo ya general nayatoa wap wakati nikiingiza namba zangu za 4m4 na majina yangu mawili ndo inajibu 'not found the aplicant either not selected or confirmed by institution?,nieleweshe ndugu
Nimeku-pm ndugu jina langu niangalizie
Msaada wenu unahitajika wadau, index no S1085/0011 mwaka aliomalza 2007 na jina lake ni Salama Hatib
sijaliona labda tu sibr coz tupo wengi
Msaada wenu unahitajika wadau, index no S1085/0011 mwaka aliomalza 2007 na jina lake ni Salama Hatib
Watu wa equivalent mnaangaika na nn tcu wametoa link leo kwenye website yao kama umechaguliwa utajikuta kule tena wametoa link rahis sana namba yako ya form 4 na majina yako kama umo unapata jina lako bila zengwe sasa nyie mnakalia not yet confirmed shauri yenu....TCU NDIYO KILA KITU KULE MZIZI WA FITINA

Ni fom 6 au dip??
Sijafanya second round application, profile yangu iko processed successful
kati ya Arthi... Udsm.. Udom na Dit till now sijaona jina. Ndugu embu tusaidiane hapo...?
duuuuuu we hujui.prof zinavyosoma ungejua usingewashaur watu waenfe kwenye prof
coz zngne znasema new selection is done
wait so some few hours duuuuuu.
hili zoez lkiisha ntaenda nikachek na BP maanaaa
Mbeya university if science and tech--- b.of computer engineering
Issue hapa ni uelewa ndio naona tatizo kubwa hasa kwa applicant wa diploma yaani message zinazotoke zinajitosheleza kabisa lkn siju hata kusoma mnakwenda fanyeje huko ka message ya mstari mmoja huielewi je masomo kumi utaweza kweli.
kuna kitu inaitwa guidebook wangapi mliipitia kabla ya application? min pass olevel ni nne gpa 2.7. chini ya hapo subiri tu msaada wa BRN
Profile ndio uhakika kwa taarifa yako kama profile hajaonyesha selected huko tcu huoni kitu kamwe lkn hii ni kwa diploma qulification tu
Aaahh wapi Mie jina liko TCU na profile yasema bado... Zubaa uzikwe mkuu
Kwani profile yako yasomaje?