TCU warahisisha zoezi la kuona selection

TCU warahisisha zoezi la kuona selection

Mpaka saa ngapi! Hata mimi nimeletewa ujumbe wa namna hiyo.
 
Nimepata hii taarifa kwenye profile yangu (CAS)

PUBLIC NOTES

Selection Process in Progress for those who are not yet selected...
Please be patient during this process, it will take few hours.

daaaa
aisee tusubr coz tym hii pag zao zinazngua na m nmchek toka jana nimeona wametuchakata so jion ya leo ppowa
 
Hivi inawezekana wakakuandikia selected badae ukakuta not selected?
 
Patient always pays ma colleagues, this wk wl nt end. 2lipotoka n mbal na hapa 2lpofka 2nakarbia kanaan
 
naombeni msaada wadau index nr s0155/0052 mwaka alio maliza 2004 hajui kachaguliwa wapi.
 
jina lucas joseph.s0155/0052/2004 naomba mwagalizie kachaguliwa wapi msaada jamani
 
LUCAS JOSEPH

Bachelor of science with education

Open university of Tanzania (ODL)
 
jina lucas joseph.s0155/0052/2004 naomba mwagalizie kachaguliwa wapi msaada jamani

UCASJOSEPHMS0155/0052/2004Bachelor of Science with EducationOpen University of Tanzania (ODL)
 
Hivi inawezekana wakakuandikia selected badae ukakuta not selected?

Uwezekano ni mdogo, ikitokea chuo hawakukuafiki (kwa kawaida ni nadra), ikitokea hivyo utapewa nafasi nyingine (uchague), labda wengine watusaidie wenye uzoefu zaidi
 
oyaa swap middle name na sir name inaweza ikakubali mi ilishanitokea hiyo inawezekana middlename umeweka kwenye sirname ziswap ucheck.
 
Emmanuel ng'hwaje elias
male
s2593/0058/2011
barchelor of education in adult education and community development
university of dodoma
 
Back
Top Bottom