Tcu

Guys! Matokeo yatatoka tarehe 3 mwezi wa nane.. Nimepata hiyo taarifa kutoka kwao. I'm not sure! But hawajamaa wanatuboa mno!

Kichwa cha habari hakiendani na hoja,tetesi ipi?inaoneka huna taarifa yeyeote kuhusiana na mada,na unataka taarifa kutoka kwa wadau,sasa tetesi ipo wapi wakati wewe ndiyo unataka kujua?

Naungana na Vanpopeye,hawa jamaa walisema early of jully ila naona tunaenda agost sasa..Home kunachosha jamani..Hivi wao hawajui kama wanatushusha NZUKA?
mbona mwaka jana ni hivihivi,wanazuga na email unaweza zani tcu ni ya ukweli da! Kumbe magumashi.

aaah hata mie nimechoka km vp wa2rudishie 30000 ze2 maana ni waongo wakubwa!!!! Km wao waliweka deadline kwenye application zao iweje selection ziwe utata au hayo macomputer yao mabovu? Si waseme 2. Oya Van popeye andaa mabango 2andamane .
tutapgwa!

Kichwa cha habari hakiendani na hoja,tetesi ipi?inaoneka huna taarifa yeyeote kuhusiana na mada,na unataka taarifa kutoka kwa wadau,sasa tetesi ipo wapi wakati wewe ndiyo unataka kujua?
nilisahau

we unawaza kuandamana sasa hivi. Fanya maombi ili uchaguliwe kutokana na mtiririko wa course ulizoomba maana tcu bana.....utashangaa kukuta last option inakuwa first priority ilhali credit zinalipa ukilinganisha na competition iliopo!
hlo nalo neno

Vumilieni madogo, najua huo ni mzuka wakuingia ma'varsity mkiingia msilete usharobaro msome muikomboe nchi yenu
tangu nianze kusoma maandsh humu,kaka haya yako ni ya busara

Hivi ndivyo walivyoandika kwenye website yao

Wamesema tar 4/august ndo wanatoa hayo majina yenu,kwa maelezo zaidi tembelea web yao.

tangu nianze kusoma maandsh humu,kaka haya yako ni ya busara
kweli vanpopeyo umesaidia kuwashitua hawa mabwana jana nilikua na bosi mmoja wa tcu akaniambia madogo wameanza kudai ahadi yao ya kupewa matokeo yao mapema alisoma hapa jf, so 100% you are all right.

kweli vanpopeyo umesaidia kuwashitua hawa mabwana jana nilikua na bosi mmoja wa tcu akaniambia madogo wameanza kudai ahadi yao ya kupewa matokeo yao mapema alisoma hapa jf, so 100% you are all right.

ndo hvo kaka,ujue bora mtu umwambie kitu flan kitakua mwakan ila ucmwambie kesho alaf hyo kesho unakuja kumwambie keshokutwa!

Wamesema tar 4/august ndo wanatoa hayo majina yenu,kwa maelezo zaidi tembelea web yao.

senator mimi pata veve,leo umeamkaje?naona hujacrash sana teh teh teh

Kalakande nimekupata rutaaa!...OVER
Hivi ndivyo walivyoandika kwenye website yao

asante kwa kunikosoa mkuu bt nimetolea mfano 2..ckua na maana mbaya as ukiangalia vyuo ka udsm,sua na mzumbe ndo madent weng huwa wanavishobokea.

kwani hujajua Muccobs ni Sua

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…