Itunze idumu, itunze ikutunze.Hahahhahh babu
nimependa number 10
Sasa kwani mi mwanamke? Ila nachojua: Si kila mwanamke anyeenda bar ni malaya, si kila mwanamke anayenda bar anajiuza......kuna FM academia.....!L....o.....l... Ukimalza kuzimua uje useme na wanawake kunywea bar, je na wao wanafwata nini?..
Askofu, katika kanisa lako hakuna nafasi ya kazi ya mchangisha sadaka? Nna kipaji sana asee!Hongera babu,
nasikia siku hizi unaenda kanisani
ubarikiwe sana
Askofu, katika kanisa lako hakuna nafasi ya kazi ya mchangisha sadaka? Nna kipaji sana asee!
Nafasi anashikilia Teamo...
Labda akistaafu kanisa litakufikiria
Teamo ana kawaida ya kutostaafu.......ameshea damu na Museveni na Mugabe...
Basi nipe kazi ya ushauri kwa wanandoa waliokorofishana.
Njoo na Bibi kwanza niwashauri kabla sijakupa hiyo kazi
Hapo ndipo unapoharibu............bibi ana uhusiano gani kati yangu na wewe na kanisa lako? We nipe kazi bana!
Ushauri utatoa peke yako? si mtakuwa na bibi....
Nataka nimpe semina angalau ya siku mbili
usiache kumleta
Mi ntakuwa nashauri kinamama.
Kina baba utawashauri wewe
Bibi anatakiwa aje kufanya nini?
Weita...........hebu leta wanzuki hapa..........naona Askofu wa mapepo ananizengua tu hapa!
Waheshimiwa mabalozi wa maji yaletayo raha na burudani mwilini, naomba niwaulize swali, je ni kwanini pombe za kunywea nyumbani hazinogi hata lkama kuna marafiki, kitimoto na matusi juu?
Hainogi kwa sababu macho hayaburudiki ukiwa home
waifu wako jenereta la kufua umeme?
Nyumbani kelele za wife zinaondoa stimu ya kinywaji
kudadeki, burudani ya macho ilikuwa pale uwanja wa fisi kabla vidudu mtu hawajatufanyia fitna
Huwa nikisoma response za Asprin nacheka sana mpaka nakaa chini. Big up brother nafikiri wife wako anaishi na Ze Komedi bila kujua. Mungu akuzidishie ucheshi! lol
Karibu Carol, nawe ubarikiwe sana. BTW kama huna hus, mai waifu ameniruhusu kuoa mke wa pili...........:becky::becky:
unatumia kinywaji gani?:A S 100:
Bujibuji, hebu leteya huyu mdada uji wa ulezi......usisahau na matango na matikiti maji ya kutafunia.:majani7::majani7:
Karibu Carol, nawe ubarikiwe sana. BTW kama huna hus, mai waifu ameniruhusu kuoa mke wa pili...........:becky::becky:
unatumia kinywaji gani?:A S 100:
Bujibuji, hebu leteya huyu mdada uji wa ulezi......usisahau na matango na matikiti maji ya kutafunia.:majani7::majani7: