Te Amo, Asprin, Fidel 80 na Klorokwin

Te Amo, Asprin, Fidel 80 na Klorokwin

Hahahhahh babu
nimependa number 10
Itunze idumu, itunze ikutunze.

L....o.....l... Ukimalza kuzimua uje useme na wanawake kunywea bar, je na wao wanafwata nini?..
Sasa kwani mi mwanamke? Ila nachojua: Si kila mwanamke anyeenda bar ni malaya, si kila mwanamke anayenda bar anajiuza......kuna FM academia.....!

Hongera babu,
nasikia siku hizi unaenda kanisani
ubarikiwe sana
Askofu, katika kanisa lako hakuna nafasi ya kazi ya mchangisha sadaka? Nna kipaji sana asee!
 
Kunywa nikujiachia!!We muhudumu kistrabu!!ila unatakiwa umwite weitaaa njoo hapa nataka castle laga ya barrrridiii hapa! na mupe,mupe mruke,mpe fwanta ya moto,mupe kaheinken ka Barridi!!Navitu kama hizo that why baa kunanoga afta roo unaweza ita baamedi ukakaa nakwakiti naukamuhuliza mabo ya apointiment kiulahisi nakama anamda unaenda kunyosha ila siwale wa Rombo view wavimin watakutoa roho!!!!:becky::majani7:
 
Teamo ana kawaida ya kutostaafu.......ameshea damu na Museveni na Mugabe...

Basi nipe kazi ya ushauri kwa wanandoa waliokorofishana.

Njoo na Bibi kwanza niwashauri kabla sijakupa hiyo kazi
 
Njoo na Bibi kwanza niwashauri kabla sijakupa hiyo kazi

Hapo ndipo unapoharibu............bibi ana uhusiano gani kati yangu na wewe na kanisa lako? We nipe kazi bana!
 
Hapo ndipo unapoharibu............bibi ana uhusiano gani kati yangu na wewe na kanisa lako? We nipe kazi bana!

Ushauri utatoa peke yako? si mtakuwa na bibi....
Nataka nimpe semina angalau ya siku mbili

usiache kumleta
 
Ushauri utatoa peke yako? si mtakuwa na bibi....
Nataka nimpe semina angalau ya siku mbili

usiache kumleta

Mi ntakuwa nashauri kinamama.
Kina baba utawashauri wewe
Bibi anatakiwa aje kufanya nini?

Weita...........hebu leta wanzuki hapa..........naona Askofu wa mapepo ananizengua tu hapa!
 
Huwa nikisoma response za Asprin nacheka sana mpaka nakaa chini. Big up brother nafikiri wife wako anaishi na Ze Komedi bila kujua. Mungu akuzidishie ucheshi! lol
 
Mi ntakuwa nashauri kinamama.
Kina baba utawashauri wewe
Bibi anatakiwa aje kufanya nini?

Weita...........hebu leta wanzuki hapa..........naona Askofu wa mapepo ananizengua tu hapa!

alete komoni moja, kimpumu moja na kangala nusu kisado
 
Waheshimiwa mabalozi wa maji yaletayo raha na burudani mwilini, naomba niwaulize swali, je ni kwanini pombe za kunywea nyumbani hazinogi hata lkama kuna marafiki, kitimoto na matusi juu?

Hainogi kwa sababu macho hayaburudiki ukiwa home
 
Dawa ya maumivu umenifumbua macho kumbee ndo hivyo haya nimepata somo leo
 
baa kunanoga mazee,kuna mafundi wa kuchoma nyama,pweza unamix na bia jambo ambalo hom ngumu kufanya.weita lete nyingine.....!
 
kudadeki, burudani ya macho ilikuwa pale uwanja wa fisi kabla vidudu mtu hawajatufanyia fitna

Hahahaha mkuu njoo pande za Kwa mfuga Mbwa pale Silver dah noma yaani beer inashuka huku macho yanaburudika huku bailojia ikijibu mapigo
 
Huwa nikisoma response za Asprin nacheka sana mpaka nakaa chini. Big up brother nafikiri wife wako anaishi na Ze Komedi bila kujua. Mungu akuzidishie ucheshi! lol

Karibu Carol, nawe ubarikiwe sana. BTW kama huna hus, mai waifu ameniruhusu kuoa mke wa pili...........:becky::becky:

unatumia kinywaji gani?:A S 100:

Bujibuji, hebu leteya huyu mdada uji wa ulezi......usisahau na matango na matikiti maji ya kutafunia.:majani7::majani7:
 
Vp hurudi kitandani?

Beer unaweza kunywa huku umelala?
 
Karibu Carol, nawe ubarikiwe sana. BTW kama huna hus, mai waifu ameniruhusu kuoa mke wa pili...........:becky::becky:

unatumia kinywaji gani?:A S 100:

Bujibuji, hebu leteya huyu mdada uji wa ulezi......usisahau na matango na matikiti maji ya kutafunia.:majani7::majani7:

naona umeanza kupiga ndogo ndogo......!

huyu ndazi niachie mimi we kaendelee na blakiwomani:becky::becky::becky:
 
Back
Top Bottom