Nakusalimia mkuu.Ngoja tuone.
Namuomba msamaha Daudi Mchambuzi nilikutukana kisa tofauti zetu nisamehe na kuanzia Leo nitamjadili Ally Kiba kwa lengo la kumjenga
Inawezekana tukawapandisha wote kuliko kutukanana kila siku kama watotoWewe unadhani kuna watu watakubali kusiwe na team wao wanataka kumshusha mmoja ili mmoja awe dili awawezi kuwapandisha wote wawili
Wewe unadhani ni wewe shabiki wenyewe wanaojiita wadau Wa muziki kuna mengi kuna watu wanataka kuwa miungu watu kwenye huu mziki kuna watu wanaona fulani ndio Bora ili maisha yao yaendelee kuwa Bora lazima wampige Vita mmoja Na mmoja wampandisheInawezekana tukawapandisha wote kuliko kutukanana kila siku kama watoto
Wasubiri japo naona wamegomangoja nikae high table....niwe nawaangalia usoni ili nione kama nyuso zenu zitakuwa zinamaanisha yale mnayoyasema
Unaomba msamaha huku unawajoke tena, szan kama msamaha wako utapokelewateam kibakuli mnisame
So hutaki suruhu kakadiamond in msanii wa kimataifa na huyo kibwabwa ni msanii wa kariakoo na vitongoji vyake