unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Hiko cheo kilishafutika,diamond in msanii wa kimataifa na huyo kibwabwa ni msanii wa kariakoo na vitongoji vyake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiko cheo kilishafutika,diamond in msanii wa kimataifa na huyo kibwabwa ni msanii wa kariakoo na vitongoji vyake
Umeandika vyema unaweza kuwa unatembea kisha ukampiga mtu kikumbo kibahati mbaya kisha kama ni muungwana unarudi na kumuomba msamaha japo nae anajua hukukusudia lakini neno linamfariji ila mpige mtu kumbo kisha uendelee na safari ugomvi wake si wa kitoto.Kipindi kile enzi zetu bado vijana wadogo ilikuwa ni rahisi sana kuomba msamaha ingawa ni neno gumu kutamka " naomba unisamehe sitarudia tena".
*vijana wa sasa hawawezi kujishusha na kuomba msamaha wa kweli sababu÷
-ubishi kila kitu wanajua
-masikini jeuri
-kama mbwai na iwe mbwai liwalo na liwe
-kupata unyonge na kudharaulika
**samahani ni neno lenye hekma na busara kubwa likitumika katika sanaa, siasa, michezo, mahusiano ya ndoa.
_Friends never say sorry..
Mkuu umeongea maneno yenye hekma na busara sana.Umeandika vyema unaweza kuwa unatembea kisha ukampiga mtu kikumbo kibahati mbaya kisha kama ni muungwana unarudi na kumuomba msamaha japo nae anajua hukukusudia lakini neno linamfariji ila mpige mtu kumbo kisha uendelee na safari ugomvi wake si wa kitoto.
Tukirudi kwa vijana hawa bado umri unawaruhusu kwenda mbali zaidi kama wamoja kuliko kuwa na migogoro ambayo pengine haina kichwa wala miguu najua pana wadau humu wana nafasi ya kuwashauri kwa mustakbali wa sanaa yao.
Kama jina lako halisi ni Emmanuel ..walikosea sana ulipaswa uitwe Shida..Baada ya waliojiita team kiba kuamia kwa Darasa mmeona mtafute suluhu maana hamzungumziwi kabisa.
Namuomba msamaha Daudi Mchambuzi nilikutukana kisa tofauti zetu nisamehe na kuanzia Leo nitamjadili Ally Kiba kwa lengo la kumjenga
Elimu..What's wrong with tanzanians?
Kwa kweli aisee.Elimu..
ni ngumu kupatana maana kuna watu wananufaika nazoooKwa kweli aisee.
Of course hiyo ni business ya watu.ni ngumu kupatana maana kuna watu wananufaika nazooo
Pamoja ndugu yangu wote wa kwetu hawa wajitambue tu ujana usiwatie upofu Shukran nyingi kwako pia.Mkuu umeongea maneno yenye hekma na busara sana.
Kweli mkuuBaada ya waliojiita team kiba kuamia kwa Darasa mmeona mtafute suluhu maana hamzungumziwi kabisa.
Team le mutuz mmefanywa nini? tena.Mtuombe msamaha na sisi Team Le Mutuz, maana mmetutukana sana kwa miaka yote hii.