mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Abadilike kuwa sokwe?!Kusema timu kiba na timu diamond ni kumshusha diamond.. Ally bushman hana timu ana watu hawapungui kumi wenye akaunti fake tano tano ndo mnaleta upuuzi hapa..!! Timu kibakuli muwe na adabu na msanii wetu WA kimataifa na mkubali ukweli kuwa jamaa yenu hajui kuimba hata dimpoz mwenyew hamfikii..!! Naona sasa hivi mmehamia kwa darasa timu bushman.. Msanii wenu hajui kuimba..msanii tokea Cinderella bado habadiliki..