Abadilike kuwa sokwe?!Kusema timu kiba na timu diamond ni kumshusha diamond.. Ally bushman hana timu ana watu hawapungui kumi wenye akaunti fake tano tano ndo mnaleta upuuzi hapa..!! Timu kibakuli muwe na adabu na msanii wetu WA kimataifa na mkubali ukweli kuwa jamaa yenu hajui kuimba hata dimpoz mwenyew hamfikii..!! Naona sasa hivi mmehamia kwa darasa timu bushman.. Msanii wenu hajui kuimba..msanii tokea Cinderella bado habadiliki..
umetisha mkuuNamuomba msamaha Daudi Mchambuzi nilikutukana kisa tofauti zetu nisamehe na kuanzia Leo nitamjadili Ally Kiba kwa lengo la kumjenga
Diamond akipewa kazi ya kuwafurahisha mashabiki wa Kiba hatowezaBaada ya waliojiita team kiba kuamia kwa Darasa mmeona mtafute suluhu maana hamzungumziwi kabisa.
Mi mbona nishatukana sana na sijapigwa ban.Mimi nashukuru Mungu sijawahi kumtukana mtu,ila kanuni yangu ukinitukana au kunikejeri sikuachi na ndio maana tokea niwe humu sijawahi kufungiwa.Ila mimi ndio naongoza kwa kutukanwa ktk jukwaa hili.
Lakini kwa kiasi kikubwa mameneja wa Diamond ndo wanachochea bifuWangeanza wamiliki wa timu hizo kwanza alafu hawa wengine watafuata nyayo
Mkuu umemaliza chaji bure ni heri ungecheza game tu kuliko kuandika hizi vapourKusema timu kiba na timu diamond ni kumshusha diamond.. Ally bushman hana timu ana watu hawapungui kumi wenye akaunti fake tano tano ndo mnaleta upuuzi hapa..!! Timu kibakuli muwe na adabu na msanii wetu WA kimataifa na mkubali ukweli kuwa jamaa yenu hajui kuimba hata dimpoz mwenyew hamfikii..!! Naona sasa hivi mmehamia kwa darasa timu bushman.. Msanii wenu hajui kuimba..msanii tokea Cinderella bado habadiliki..
Mbona mnataka kutulisha matango pori? kitu kizuri kila mtu anakijua ni ujeuri wenu tuTeam Kibakuli ujinga wao ni kutokutaka kubali ukweli kwamba Diamond ndio jina la Mchezo. Wakiri kwanza hilo then tuendelee.
Mkuu umemaliza chaji bure ni heri ungecheza game tu kuliko kuandika hizi vapour