Team Alteza imekufa tangu JPM aingie madarakani.

Team Alteza imekufa tangu JPM aingie madarakani.

[emoji23][emoji23]
77e08a0814294dce60447ab39fd30a40.jpg
Dah....mzee hiyo kitu ndo mpango mzima hata tezza 5 sitaki. Kitu cha 250cc md30 achaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto kapewa Andazi.

Insurance ikiisha utampigia simu dingi?

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Mleta mada inaonyesha bado mtoto Mdogo sanaa..au ni wtoto wa kisure ambaye unafungiwa sana ndani ndomaana kwa comments zako zilizojaa umarioo unaonyesha tabia yako halisi na pia unareflect uhalisia wa maisha yako..jf uliifumania bas ni shida kipofu kaona mwez bas atamuona kila mtu kuwa haujuii
 
Mleta mada inaonyesha bado mtoto Mdogo sanaa..au ni wtoto wa kisure ambaye unafungiwa sana ndani ndomaana kwa comments zako zilizokaa umarioo unaonyesha tabia yako halisi na pia unareflect uhalisia wa maisha yako..jf uliifumania bas ni shida kipofu kaona mwez bas atamuona kila mtu kuwa hajuii
Umemaliza?.
 
Back
Top Bottom