enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Ndio tumejua kuwa wewe ni wa kishua
Delta Force
Delta Force
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah....mzee hiyo kitu ndo mpango mzima hata tezza 5 sitaki. Kitu cha 250cc md30 achaaa[emoji23][emoji23]![]()
wapi nimeandika mi wa kishua?Ndio tumejua kuwa wewe ni wa kishua
Delta Force
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Usijipendekeze kwangu kwa vi emoj vya kunichekea
Sicheki na wewe
Nenda kwa machokoraa wenzako wa kariakoo.
Umemaliza?.Mleta mada inaonyesha bado mtoto Mdogo sanaa..au ni wtoto wa kisure ambaye unafungiwa sana ndani ndomaana kwa comments zako zilizokaa umarioo unaonyesha tabia yako halisi na pia unareflect uhalisia wa maisha yako..jf uliifumania bas ni shida kipofu kaona mwez bas atamuona kila mtu kuwa hajuii
Tumesumbua saana enzi za NJOLAI town hadi akasema kelele zimezidi sasa....Dah....mzee hiyo kitu ndo mpango mzima hata tezza 5 sitaki. Kitu cha 250cc md30 achaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sie huku kipindi tunasoma tulikuwa tunalilia kununuliwa kiatu baada ya cha zamani kuchakaa, sasa wewe mwenzetu unalilia kununuliwa gariwapi nimeandika mi wa kishua?
mi mgumu zaidi yako
Unajisifia umasikini?Mkuu sie huku kipindi tunasoma tulikuwa tunalilia kununuliwa kiatu baada ya cha zamani kuchakaa, sasa wewe mwenzetu unalilia kununuliwa gari
Delta Force
Mkuu najichanga nipate hii kitu aisee... wachina kazi manual hawawezi!!Tumesumbua saana enzi za NJOLAI town hadi akasema kelele zimezidi sasa....
Dar foleni inanyima raha yake.
Karibu, binafsi huu ndiyo ugonjwa Wangu.Mkuu najichanga nipate hii kitu aisee... wachina kazi manual hawawezi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh mkuu hyo si ndo wanaiuza mill 40 hiyo... KTM sio rafiki sana wa hii awamuKaribu, binafsi huu ndiyo ugonjwa Wangu.
Naona sasa hivi imeingia enduro cc 690 bongo wanaitangaza.
Bado sijamaliza kichanga...!!Umemaliza?.
kuna jamaa amepost humu anadai eti msemo wa "pambana na hali yako" tunautumia wapuuziUlitaka tu kutuambia una gari....alteza inasingiziwa
Pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Apambane na hali yake[emoji23] [emoji23]kuna jamaa amepost humu anadai eti msemo wa "pambana na hali yako" tunautumia wapuuzi