Daah inaonesha wewe huna maadili kabisa yani hilo jina tu unalitumia jau jau tuu waza positive wacha kujipa id za watu walio na laana kama kina el nino.
kuna mwanangu mmoja anamiliki hii kitu,ina bomba mbili.kelele zake kama chopa ya polisi😀😀.ukiwa nayo kwenye mkeka unasahau kama kuna matatizo chini ya jua.
Kashasema alimsumbua baba amnunulie alteza sasa mnabishana na mtoto? Sasa kama liza amenunuliwa passo so hakuna haja ya kugombana na mdogo wetu!!!dogo wasikusumbue kaka yako ntakutetea,ila alteza hutanunuliwa,pambana uje kujinunulia mwenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.