Team Alteza imekufa tangu JPM aingie madarakani.

Team Alteza imekufa tangu JPM aingie madarakani.

Daah inaonesha wewe huna maadili kabisa yani hilo jina tu unalitumia jau jau tuu waza positive wacha kujipa id za watu walio na laana kama kina el nino.
 
[emoji23][emoji23]
77e08a0814294dce60447ab39fd30a40.jpg

20160926_124037.jpg


kuna mwanangu mmoja anamiliki hii kitu,ina bomba mbili.kelele zake kama chopa ya polisi😀😀.ukiwa nayo kwenye mkeka unasahau kama kuna matatizo chini ya jua.
 
Kashasema alimsumbua baba amnunulie alteza sasa mnabishana na mtoto? Sasa kama liza amenunuliwa passo so hakuna haja ya kugombana na mdogo wetu!!!dogo wasikusumbue kaka yako ntakutetea,ila alteza hutanunuliwa,pambana uje kujinunulia mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi watu wamebadili mfumo wa maisha kulingana na hali iliyopo...

Siyo kuwa watu hawana hela, sasa hivi ukionekana kijana unatanua mjini hapa unaanza kufuatiliwa na team Sianga nani anaye taka....

Wenye team Subaru, Altezer wamewaachia wake zao....
 
Back
Top Bottom