Mpaka Sasa bado wanajiuliza imekuwaje Dar yote Jana kuhamia Togo Fiesta? Kuna ambao walikuwa wameshashauri kuwa ni Bora Tigo Fiesta iahirishwe ili kuficha aibu maana hakuna watu watakoihudhuria. Cha kushangaza wao wenyewe wamekuwa miongoni mwa waliofanikisha kufanya uwanja utapike. Sasa wanaficha nyuso wanashindwa wafanye nini maana hawaamini walichokiona