Team Domo ( Matusi boy) hawaamini walichokiona Tigo Fiesta Dar.

Team Domo ( Matusi boy) hawaamini walichokiona Tigo Fiesta Dar.

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Mpaka Sasa bado wanajiuliza imekuwaje Dar yote Jana kuhamia Togo Fiesta? Kuna ambao walikuwa wameshashauri kuwa ni Bora Tigo Fiesta iahirishwe ili kuficha aibu maana hakuna watu watakoihudhuria. Cha kushangaza wao wenyewe wamekuwa miongoni mwa waliofanikisha kufanya uwanja utapike. Sasa wanaficha nyuso wanashindwa wafanye nini maana hawaamini walichokiona
Screenshot_20181223-030354.png
 
Tulitegemea tamasha Changa la wasafi festival litaanza kukidhi hadhi ya kufananishwa na tamasha kongwe la fiesta baada ya miaka kumi ijayo, ila cha ajabu ni mwaka wa kwanza tu tamasha changa kabisa linawasumbua sana tamasha la fiesta kiasi hiki, hapa bila shaka tamasha la wasafi limebeba kombe.

Diamond miaka 28 tu mtoto mdogo muoneeni huruma jamani🙂 kaka zake walidhani kuwa sauti na ukubwa wa miaka 35 ndo dawa ya Dogo wa miaka 28, kilichowatokea walivyoingia kwenye anga za huyu mtoto hawatakuja kukisahau, mpaka Leo kabla hawajafanya lolote huko insta wanaumizaga sana vichwa ni jinsi gani posti zao zitamshambulia Huyu Dogo anaewapuuza na hatoi kiki kwa kaka zake wanaozifosi🙂🙂.
 
Tulitegemea tamasha Changa lililopata mafanikio makubwa kama la wasafi litaanza kukidhi hadhi ya kufananishwa na tamasha kongwe la first baada ya miaka 10, ila cha ajabu ni mwaka wa kwanza tu tamasha changa kabisa linawasumbua sana tamasha la fiesta kiasi hiki, hapa bila shaka tamasha la wasafi limebeba kombe.

Diamond miaka 28 tu mtoto mdogo muoneeni huruma jamani🙂 kaka zake walidhani kuwa ukubwa wa miaka 35 ndo dawa ya Dogo wa miaka 28, kilichowatokea walivyoingia kwenye anga za huyu mtoto hawatakuja kukisahau, mpaka Leo kabla hawajafanya lolote huko insta wanaumizaga sana vichwa ni jinsi gani posti zao zitamshambulia Huyu Dogo anaewapuuza na hatoi kiki kwa kaka zake wanaozifosi🙂🙂.
Haya maneno ulitakiwa kumwambia boss wako Domo maana mchezo kautaka yeye mwenyewe.
 
Hiyo picha imepigwa kiujanjaujanja sana. Watu hawakuwa wengi hivyo. Ila pia hawakuwa wachache kiviile.

Kingine, chidi Benz wamuongezee pesa aisee katika pesa waliyompa. Kafanya kazi kubwa sanaa. Na nadiriki kusema Chidi kawabeba sana fiesta.
 
Mpaka Sasa bado wanajiuliza imekuwaje Dar yote Jana kuhamia Togo Fiesta? Kuna ambao walikuwa wameshashauri kuwa ni Bora Tigo Fiesta iahirishwe ili kuficha aibu maana hakuna watu watakoihudhuria. Cha kushangaza wao wenyewe wamekuwa miongoni mwa waliofanikisha kufanya uwanja utapike. Sasa wanaficha nyuso wanashindwa wafanye nini maana hawaamini walichokionaView attachment 974956
Huu uwanja haujatapika ndugu yangu hao watu ni wachache sana ndio maana hautakaa uone picha ya juu ikionyesha utosi... Hiyo picha imefanyiwa ujanja zimezimwa lights halafu ikapigwa kwenye angle then zikafanyiwa effects... Ingepigwa picha kwa juu halafu taa ziwashwe ungeona hali halisi.

Ndio maana hautoona picha nyingine zaidi ya hiyo sababu ni picha iliyowatoa jasho kuipata... Kama hauamini tafuta picha nyingine au video inayoonyesha washabiki hutakaa uipate.

Kiufupi Fiesta ilikuwa aibu hata hao die hards waliokuja wamekuwa dissapointed sana na shows za wasanii.
 
Tulitegemea tamasha Changa lililopata mafanikio makubwa kama la wasafi litaanza kukidhi hadhi ya kufananishwa na tamasha kongwe la first baada ya miaka 10, ila cha ajabu ni mwaka wa kwanza tu tamasha changa kabisa linawasumbua sana tamasha la fiesta kiasi hiki, hapa bila shaka tamasha la wasafi limebeba kombe.

Diamond miaka 28 tu mtoto mdogo muoneeni huruma jamani🙂 kaka zake walidhani kuwa ukubwa wa miaka 35 ndo dawa ya Dogo wa miaka 28, kilichowatokea walivyoingia kwenye anga za huyu mtoto hawatakuja kukisahau, mpaka Leo kabla hawajafanya lolote huko insta wanaumizaga sana vichwa ni jinsi gani posti zao zitamshambulia Huyu Dogo anaewapuuza na hatoi kiki kwa kaka zake wanaozifosi🙂🙂.
Luna kiti kinaitwa mapokeo hasa kwa Wa-Tz, rejea EFM kwanza.
 
Ngoja nishuhudie hapa huu mpambano wa hizi team zinazocheza mechi zake kwenye social media na sio uwanjani.😀😀
 
Back
Top Bottom