Team Domo ( Matusi boy) hawaamini walichokiona Tigo Fiesta Dar.

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Mpaka Sasa bado wanajiuliza imekuwaje Dar yote Jana kuhamia Togo Fiesta? Kuna ambao walikuwa wameshashauri kuwa ni Bora Tigo Fiesta iahirishwe ili kuficha aibu maana hakuna watu watakoihudhuria. Cha kushangaza wao wenyewe wamekuwa miongoni mwa waliofanikisha kufanya uwanja utapike. Sasa wanaficha nyuso wanashindwa wafanye nini maana hawaamini walichokiona
 
Tulitegemea tamasha Changa la wasafi festival litaanza kukidhi hadhi ya kufananishwa na tamasha kongwe la fiesta baada ya miaka kumi ijayo, ila cha ajabu ni mwaka wa kwanza tu tamasha changa kabisa linawasumbua sana tamasha la fiesta kiasi hiki, hapa bila shaka tamasha la wasafi limebeba kombe.

Diamond miaka 28 tu mtoto mdogo muoneeni huruma jamaniπŸ™‚ kaka zake walidhani kuwa sauti na ukubwa wa miaka 35 ndo dawa ya Dogo wa miaka 28, kilichowatokea walivyoingia kwenye anga za huyu mtoto hawatakuja kukisahau, mpaka Leo kabla hawajafanya lolote huko insta wanaumizaga sana vichwa ni jinsi gani posti zao zitamshambulia Huyu Dogo anaewapuuza na hatoi kiki kwa kaka zake wanaozifosiπŸ™‚πŸ™‚.
 
wasafii ni moto mwingine kabisaaa fiesta na ukongwe wao wotee wanakubari uezi zungumzia bongofleva bila kugusa wcb ni uongoo wa kiwango cha sgr sasa ngoja tusubiri #simba akifanya final yake dsm apoo mbona kitawaka bongofleva yote ipo wasafiiiiiiiiiii ii haina ubishiiii
 
Haya maneno ulitakiwa kumwambia boss wako Domo maana mchezo kautaka yeye mwenyewe.
 
Hiyo picha imepigwa kiujanjaujanja sana. Watu hawakuwa wengi hivyo. Ila pia hawakuwa wachache kiviile.

Kingine, chidi Benz wamuongezee pesa aisee katika pesa waliyompa. Kafanya kazi kubwa sanaa. Na nadiriki kusema Chidi kawabeba sana fiesta.
 
Huu uwanja haujatapika ndugu yangu hao watu ni wachache sana ndio maana hautakaa uone picha ya juu ikionyesha utosi... Hiyo picha imefanyiwa ujanja zimezimwa lights halafu ikapigwa kwenye angle then zikafanyiwa effects... Ingepigwa picha kwa juu halafu taa ziwashwe ungeona hali halisi.

Ndio maana hautoona picha nyingine zaidi ya hiyo sababu ni picha iliyowatoa jasho kuipata... Kama hauamini tafuta picha nyingine au video inayoonyesha washabiki hutakaa uipate.


Kiufupi Fiesta ilikuwa aibu hata hao die hards waliokuja wamekuwa dissapointed sana na shows za wasanii.
 
Luna kiti kinaitwa mapokeo hasa kwa Wa-Tz, rejea EFM kwanza.
 
Ngoja nishuhudie hapa huu mpambano wa hizi team zinazocheza mechi zake kwenye social media na sio uwanjani.πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…