Team Domo ( Matusi boy) hawaamini walichokiona Tigo Fiesta Dar.

Hahahahaha! Hamkosi sababu. Mmepigwa Sasa mnatafuta sababu
 
Matangazo yote watu wenyewe ndio hao !!
 
Watu wachache mmewasambaratisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Show kongwe ya fiesta inatolewa jasho na tamasha changa la WASAFI FESTIVAL [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

KWELI NOW DIAMOND KAPATA WASHINDANI WAWILI AMBAO NI CLOUDS NA BASATA
 
BASATA yuko FRONT
CLOUDS yuko UNDERCOVER
 
Chid Benz hatari sana yule mtu!

Nadhani wasafi wangemtumia kwenye show zao kuliko hao akina dudu baya

Anaamsha hatari!

Clouds muongezen pesa chid

Chidi jana kawapoteza mbaya. Yule jamaa kweli chuma. Fiesta inapaswa wamuongeze pesa aisee. Jana kawafichia sana aibu.
 
Hatutaki picha za upande upande tuleteeni za drone kama tulizokuwa tunaziona upande wa pili
 
Chid Benz hatari sana yule mtu!

Nadhani wasafi wangemtumia kwenye show zao kuliko hao akina dudu baya

Anaamsha hatari!

Clouds muongezen pesa chid
Hawawezi kumwongeza hiyo yenyewe wamemkopa
 
Washindani watatu sema
1. Ali Kiba
2. Basata
3. Clouds
 
Duuuh!!!!

Chid Benz?? ina maana Rostam hawakuwepo au? Weusi je??

Halafu wakina Rostam na Weusi wamelipwa milioni 3, kasha Chid kalipwa laki 2 na nauli ya Uber!!
 
Hayo malipo huwa mnajualia wapi kama sio Unafikii...[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Duuuh!!!!

Chid Benz?? ina maana Rostam hawakuwepo au? Weusi je??

Halafu wakina Rostam na Weusi wamelipwa milioni 3, kasha Chid kalipwa laki 2 na nauli ya Uber!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…