Team Domo ( Matusi boy) hawaamini walichokiona Tigo Fiesta Dar.

Team Domo ( Matusi boy) hawaamini walichokiona Tigo Fiesta Dar.

Sawa bwana Ruge VP umesha maliza dozy
udakutz_-20181221-0001.jpeg
 
Huu uwanja haujatapika ndugu yangu hao watu ni wachache sana ndio maana hautakaa uone picha ya juu ikionyesha utosi... Hiyo picha imefanyiwa ujanja zimezimwa lights halafu ikapigwa kwenye angle then zikafanyiwa effects... Ingepigwa picha kwa juu halafu taa ziwashwe ungeona hali halisi.

Ndio maana hautoona picha nyingine zaidi ya hiyo sababu ni picha iliyowatoa jasho kuipata... Kama hauamini tafuta picha nyingine au video inayoonyesha washabiki hutakaa uipate.

Kiufupi Fiesta ilikuwa aibu hata hao die hards waliokuja wamekuwa dissapointed sana na shows za wasanii.
Hahahahaha! Hamkosi sababu. Mmepigwa Sasa mnatafuta sababu
 
Mpaka Sasa bado wanajiuliza imekuwaje Dar yote Jana kuhamia Togo Fiesta? Kuna ambao walikuwa wameshashauri kuwa ni Bora Tigo Fiesta iahirishwe ili kuficha aibu maana hakuna watu watakoihudhuria. Cha kushangaza wao wenyewe wamekuwa miongoni mwa waliofanikisha kufanya uwanja utapike. Sasa wanaficha nyuso wanashindwa wafanye nini maana hawaamini walichokionaView attachment 974956
Matangazo yote watu wenyewe ndio hao !!
 
Watu wachache mmewasambaratisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Show kongwe ya fiesta inatolewa jasho na tamasha changa la WASAFI FESTIVAL [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

KWELI NOW DIAMOND KAPATA WASHINDANI WAWILI AMBAO NI CLOUDS NA BASATA
 
BASATA yuko FRONT
CLOUDS yuko UNDERCOVER
 
Chid Benz hatari sana yule mtu!

Nadhani wasafi wangemtumia kwenye show zao kuliko hao akina dudu baya

Anaamsha hatari!

Clouds muongezen pesa chid

Chidi jana kawapoteza mbaya. Yule jamaa kweli chuma. Fiesta inapaswa wamuongeze pesa aisee. Jana kawafichia sana aibu.
 
Hatutaki picha za upande upande tuleteeni za drone kama tulizokuwa tunaziona upande wa pili
rafiki_wa_diamondplatnumz_1___Bq2ijgwgAhQ___.jpg
 
Chid Benz hatari sana yule mtu!

Nadhani wasafi wangemtumia kwenye show zao kuliko hao akina dudu baya

Anaamsha hatari!

Clouds muongezen pesa chid
Hawawezi kumwongeza hiyo yenyewe wamemkopa
 
Watu wachache mmewasambaratisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Show kongwe ya fiesta inatolewa jasho na tamasha changa la WASAFI FESTIVAL [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

KWELI NOW DIAMOND KAPATA WASHINDANI WAWILI AMBAO NI CLOUDS NA BASATA
Washindani watatu sema
1. Ali Kiba
2. Basata
3. Clouds
 
Duuuh!!!!

Chid Benz?? ina maana Rostam hawakuwepo au? Weusi je??

Halafu wakina Rostam na Weusi wamelipwa milioni 3, kasha Chid kalipwa laki 2 na nauli ya Uber!!
 
Hayo malipo huwa mnajualia wapi kama sio Unafikii...[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Duuuh!!!!

Chid Benz?? ina maana Rostam hawakuwepo au? Weusi je??

Halafu wakina Rostam na Weusi wamelipwa milioni 3, kasha Chid kalipwa laki 2 na nauli ya Uber!!
 
Back
Top Bottom