Team Hamisa wamvaa Josh Adeyeye baada ya kupost picha akiwa na mwanamke

Team Hamisa wamvaa Josh Adeyeye baada ya kupost picha akiwa na mwanamke

Mwajuma nichokonoe kaolewa amerikani baada ya kuvunja ndoa ya baba yangu wallahi!![emoji443][emoji443]anameremeta[emoji445][emoji446]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mashambulizi anayokula sio ya nchi hii yaani watu wanamshushua kama anaelewa kiswahili naona alipo atajuta
 
[emoji38]eti video queen [emoji1787]nimecheka sana.
Unaweza kuta hata ye hakua anajua kuwa huku bongo ametambulishwa kama shemeji mpya
 
Huyu kaka atajuta!!! Usiombe viumbe wa Instagram wakakufungia mtaa ashukuru tu kinge kinawapiga chenga wanamchamba kiswahili, siku nyingine sijui kama atakubali kufanya kazi na wabongo...

Kiki nnya nazo zinaponza ndo nini kutangaza upo kwenye uhusiano na mtu wakati ni kazi tu kaka wa watu alikua "video queen"View attachment 949607View attachment 949613View attachment 949608View attachment 949608View attachment 949613 yanayomkuta Josh leo harudii...
80% ya wa Tanzania wanaotumia instagram ni vichaa by Adam Juma
 
Atajuta kufanya Kik na mbongo
[emoji23]
Screenshot_2018-11-30-17-44-01.jpg
 
Back
Top Bottom