Haya ni majungu makubwa sana, kwa akiri ya kawaida tu hilo haliwezi kuwa kweli, mtu aende kutafta hela alafu awalipie mashabiki??????Ile timu Janja janja au maarufu kama timu manunuzi,ikiongozwa na msanii wa kimataifa mwenye mbinu za kijanja janja DIAMOND PLATNUMZ alikuwa nchini Zimbabwe (Zim) kwaajili ya shoo moja iliyofanyika jana (ijumaa) na kuhudhuriwa na maelfu ya wazimbabwe ambao "inasemekana" kuwa DIAMOND aliwalipia kiingilio ili waonekane wengi ktk shoo yake. We unasemaje kuhusu tabia za huyu msanii za kununua mashabiki ..???
hahahaahahaha team janjajanja tunapost show tu.Ile timu Janja janja au maarufu kama timu manunuzi,ikiongozwa na msanii wa kimataifa mwenye mbinu za kijanja janja DIAMOND PLATNUMZ alikuwa nchini Zimbabwe (Zim) kwaajili ya shoo moja iliyofanyika jana (ijumaa) na kuhudhuriwa na maelfu ya wazimbabwe ambao "inasemekana" kuwa DIAMOND aliwalipia kiingilio ili waonekane wengi ktk shoo yake. We unasemaje kuhusu tabia za huyu msanii za kununua mashabiki ..???
hehehehe seven hawe kubali maan beef yao ndo kula yakeKilicho nisikitisha zaidi ni nilipo pata taarifa kuwa pamoja na Diamond kuwanunua wazimbabwe waingie kwenye show yake haikutosha akawanunua tena wamshangilie.....
Sasa Diamond kaenda mbali zaidi ni majuzi tuu kamnunua producer wa Alikiba bwana Abdady.
Diamond tafadhali punguza kununua maana sasa umebakiza kumnunua Seven Mosha
teh teh hao wote kawanunua na hata kushangilia aliwalipa.....Haya ni majungu makubwa sana, kwa akiri ya kawaida tu hilo haliwezi kuwa kweli, mtu aende kutafta hela alafu awalipie mashabiki??????
Team janja janja hashindwi kununua mashabiki ili kugain popularityHaya ni majungu makubwa sana, kwa akiri ya kawaida tu hilo haliwezi kuwa kweli, mtu aende kutafta hela alafu awalipie mashabiki??????