mtaalamuna84
Member
- Nov 22, 2016
- 66
- 53
Kuna wazimbabwe wanakatika jaman mpk siamin yani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada anawaponda watu fulani kijanja...just being sarcastic.Haya ni majungu makubwa sana, kwa akiri ya kawaida tu hilo haliwezi kuwa kweli, mtu aende kutafta hela alafu awalipie mashabiki??????
Dogo ananunua vingi. Rolls royce,nyumba SA not bad...Ommy dimpoz aligusa pabaya sana. Maana neno "kununua" bado linashika hatamu kwa wale walioguswa hahahhahaahaha. # kununua views#
Ni kweli kabisa hahaha ila hili la views dah limemuuma, mana sasa anapiga show kisawasawa kumprove wrong ommy. Haahhahhahahaha kweli kila mbabe na mbabe wakeDogo ananunua vingi. Rolls royce,nyumba SA not bad...
Kijana lazima ajitume sana wakat king akila bata hahahah. Unajua king anatia hasira anavyonyamazaga kimya but watu the whole day king king king.Yoooo kuna vitu sivielewi pale iwaje diamond ashangiliwe vile wakati me Ndo king[emoji19] [emoji19] [emoji19] yoooo
Unajua king anatia hasira sana, mana mashabiki wa mond full kumtaja but heeeeey the king is here cool calm and collected. Na kagoma kutumia bit za naija kupata tuzo hehehhheeNingekuwa allykiba aka bushman ningeomba collabo na diamond baada ya hapo ningeomba collabo na wizkid/ tecno alafu ningebadilisha ile melody ya slow ningeacha mambo ya yooo!!
Hahahahha ni kama kusema tekno alijaza watu fiesta...[emoji33] if u know what i mean[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aligusa pabaya au alisema ukweli, we uoni hao mashabiki jinsi walivyo wengi na jinsi wanavyomshangilia kwa akili ya kawaida MOND anaweza kupata nyomi hilo bila ya kuwanunua .......... kama haitoshi safari hii kawanunua hadi waandishi wa habari.
Hivi lile dude pale mezani pake anatembeaga nalo au[emoji3][emoji3][emoji3]Tuambie,haswa kuhusu tabia yake ya kununua mashabiki na pia huko Zimbabwe kawanunua hadi waandishi wa habari.
Kilicho nisikitisha zaidi ni nilipo pata taarifa kuwa pamoja na Diamond kuwanunua wazimbabwe waingie kwenye show yake haikutosha akawanunua tena wamshangilie.....
Sasa Diamond kaenda mbali zaidi ni majuzi tuu kamnunua producer wa Alikiba bwana Abdady.
Diamond tafadhali punguza kununua maana sasa umebakiza kumnunua Seven Mosha
Ishu ya 2008 bdo tu mnaizungumzia ,hata Rkelly mwenyew ashasahau Kama kuna MTU tz anaitwa allykiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ali Kiba ashapiga show na R Kelly nini Zimbabwe? Sema hapendi show off tu
teh teh hao wote kawanunua na hata kushangilia aliwalipa.....
Soma bango,shoo ya mtu mmoja na mwingine msindikizaji huwezi kuilinganisha na shoo ambayo hata bango lake tu linajieleza kuwa ni FIESTA yenye LUUUUNDO la wasanii. (KUMBUKA HATA Chriss Brown alikuwa na wasindikizaji,na hapa msindikizaji alikuwa jah prazah)Hahahahha ni kama kusema tekno alijaza watu fiesta...[emoji33] if u know what i mean[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Shoo ilikuwa ni ya DIAMOND PLATNUMZ na mwingine ambaye ni Jah Prazah alikuwa ni msindikizaji.ANGALIA BANGO. (PIA KUMBUKA DUNIANI KOTE SHOO ZA MASTAA WAKUBWA NI LAZIMA NA WENYEJI WAWACHOMEKE WASANII WAO ILI WAPATE UZOEFU NA KUJULIKANA)Hiyo ilikuwa ya Diamond au Jah?!
Maana Wizkid alivyokuja Fiesta mwanza nae aliwadanganya mashabiki wake instagram kuwa alijaza uwanja wakati yeye alikuwa msanii mualikwa tu.
Ni kama Tekno alivyo-post show ya fiesta na ile nyomi ya Mashabiki na kusema kuwa amejaza uwanja peke yake kumbe kulikuwa na wengine Kibao.
Sasa mtupe jibu hiyo show jamaa alifanya peke yake au kulikuwa na wasanii wengine wa Zimbabwe?!